CAPTION THIS,...

Dereva wa Lori, taka usitake mimi Ndie... Ra. I. s
 
Hawa watu wananiombea kweli? Maana naona kama wanahisi CCM ni ileile.
 
I feel like starting trouble again!
 
My president is black " vile vtsho kama ntakuamisha mjin hakuna tena unanijua mm na bit kama hzo
 
Mimi si Mungu
Sikuleta dhahabu
Kwahiyo mambo ya makinikia Mara Noah yaishe
Sijaribiwi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa sometime ni burudani tupu
 
Nasubiri mzingue niwaripue makusudi
 
Hahahahahaaa ingawa magufuli hapendwi sana ila amerudisha heshima Kwa kiwango kikubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…