Tusimuhukumu marehemu Komba kwa tamko zake tata. Yeye alikuwa ni msanii na mcheshi. Mengi aliyoyasema yalikuwa ni burudani na kweli yaliwaudhi na kuwafurahisha wengine.
Sijui Kpt. Komba mwingine atapatikana wapi. CCM tumepigwa, tumejeruhiwa vibaya na kifo cha gafla ndugu yetu Komba. Tungo zako zitaendelea kuzikumbuka. Tutazicheza Dodoma pale Chimwaga. Sijui itakuwaje. Kwa heri Komba. Wapelekee taarifa wasisi wa CCM kwamba hakika mshikamano umepungua ndani ya chama chao, bali fitna zimezidi.
Waeleze kwamba mabadiliko karibu yatapatikana nje ya CCM. Muda siyo mrefu mabadiliko haya yatakuja yamesogea. Vinywa vya watu tumechoka tunataka mabadiliko.
Nenda salama ufike huko uendako salama. Sisi hatupajui ila tukuombea wwa maulana, fika huko salama. Mazuri yako mengi tutayakumbuka. Tangulia kwaheri komba. Pumziko la milemile akupe Bwana. Sii mbali sana tutaona huko.