Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Kiongozi mbona unaongea ukweli ambao utawaumiza jirani zako kina ritz,Simiyu yetu,mmaranguoriginal,Mussa Allan et al?Ila acha jamaa atangulie kwa kifo chake mwenyewe kuliko vile alivyotegermea kuvifanya baada ya kuingia chaka kama alivyoahidi wakati wa BMK.Kwa mtazamo wangu, naamini kifo cha Mh. Komba kimetokea ili AGANO la Mungu litimie ambalo marehemu mwenyewe alijiwekea nadhiri kuwa "CHADEMA haitatawala akiwa HAI". Sasa CHADEMA inajiandaa kutwaa dola huku kukiwa hakuna support ya public dhidi ya notion ya kuingia msituni. Hivyo basi, Komba inabidi atangulie kabla dola haijatwaliwa na CHADEMA.
Mungu akupumzishe salama na milele. RIP Captain.
Ndoto zilikuwa nyingi Mojawapo ni kumchumbia Lulu kisha kuoana na kumfanya mke wa Nne, ndoto ingine alijua Kinara na nape watamfanyia maujanja chama kimlipie Deni la Benk asiadhilike lakini kafariki na kuziacha ndoto zikielea
Kwani kaacha wake wangapi?si ana mke mmoja tu ambaye ni mwalm Salome Komba?
He kazi ipo,na mali ndo zinapigwa mnada,sasa mbona na urithi hakuna?bora mwalimu salome yeye anakamata chakiWake watatu mmoja yupo kawe mwingine alikuwa akiishi naye na mwingine yupo village,
He kazi ipo,na mali ndo zinapigwa mnada,sasa mbona na urithi hakuna?bora mwalimu salome yeye anakamata chaki
Aiseeh hili ni fundisho,ila watoto wa mke mkubwa wamesoma,kuna muhasibu,Doctor,na mwanasheria,ila inasikitisha sana maana hata hiyo nyumba wanayoishi Mbezi itapigwa mnada,Komba kafa na MengiHali ni tete baadhi ya wanaye ni Watukutu hakuna Mfano Komba alijisahau sana kwa kuendekeza michepuko na kusahau kuwasomesha wanae, wengi hawana Taaluma kichwani wapo kama mateja wanasubiri 40 ipite kazi ianze, hakika huko mbeleni ni full majanga.
Aiseeh hili ni fundisho,ila watoto wa mke mkubwa wamesoma,kuna muhasibu,Doctor,na mwanasheria,ila inasikitisha sana maana hata hiyo nyumba wanayoishi Mbezi itapigwa mnada,Komba kafa na Mengi
Nimekumbuka hizo enzi za huo wimbo dah,Ila all in all alikua na kipaji cha kuimba . Mwaka 1999 tena zile nyimbo za maombolezo ya mwalimu hasa ule wimbo anaotaja awamu ya kwanza....... Hakuna ubishi alikua na talent ya uimbaji. R.I.P KombaSikumbuki mwaka gani hasa but ilikuwa around mwaka 1992 hivi au 1993
those days nyimbo yake maarufu ilikuwa 'nambari one'
But I mean, that is what he is remembered for, kumbukumbu ya marehemu Komba ni gumzo la kuwa na mapenzi ya pembeni na vijana, kutishia kwenda msituni, kujengea nyumba michepuko, kushindwa kulipa rehani za madeni, malumbano ya matusi dhidi ya Jaji Warioba, kuzaa watoto wa pembeni bila hesabu, na kusambazwa kwa picha zake za kingono mitandaoni.Duuuh.. hii sijawahi ona popote pale ni Tanzania tu. Mtu kafa ila vijembe anavyopigwa hata angekuwa hai angekufa tena. Hii inanipa picha kwamba watanzania wengi wana hasira sana na kama kila mtu akipewa silaha tutakua zaidi ya somalia. RIP Captain Komba nakumbuka nyimbo zako 1999 nikiwa darasa la 3, japo nlikua mdogo lakini nlijawa na maswali mengi ilikuwa vipi mwalimu afariki saa nne halafu wewe mda mfupi tu utoe nyimbo zilizoshika kila kona ya nchi. Nilikua nashangaa sana na sikuwa na jinsi zaidi ya kukukubali wewe ni GENIUS kwenye sanaa ya mziki wa matukio (maombolezo, uchaguzi, shughuli za kitaifa etc) na utabaki kuwa hivo. Japo sikuwa mshabiki wa sera zako wala chama chako kama binadamu nakuombea upumzike salama kwenye nyumba yako ya milele. MWANADAMU KUMBUKA U MAVUMBI NA MAVUMBINI UTARUDI
But I mean, that is what he is remembered for, kumbukumbu ya marehemu Komba ni gumzo la kuwa na mapenzi ya pembeni na vijana, kutishia kwenda msituni, kujengea nyumba michepuko, kushindwa kulipa rehani za madeni, malumbano ya matusi dhidi ya Jaji Warioba, kuzaa watoto wa pembeni bila hesabu, na kusambazwa kwa picha zake za kingono mitandaoni.
Nobody is talking about his songs or ubunge wa Mbinga or any of that, and that's the bigger tragedy, a devastating blow on his legacy. His eulogy would read much different had he not delved into the murky party politics in the second phase of his public life.
So, I guess the take home here is that mashindano ya siasa za maji taka, hata ukishinda, zinaharibu taswira nzima ya mchango wako na kazi ya maisha yako. I mean, katika kujibizana na Warioba Komba was blowing Warioba out of the water, there was no contest, Warioba alishindwa ku keep up the mashambulizi ya Komba. Vita vya kisiasa alishinda lakini kwa jinsi alivyopigana pamoja na antics zake za pembeni amejiachia legacy chafu.
Marehemu Kaptain Komba alizaliwa Marchi 18 mwaka 1945 alipata elimu ya msingi huko nchini Tanzania katika shule ya Lituhi baadae elimu ya sekondari katika shule ya sekondari ya Songea iliyopo kusini mwa Tanzania kuanzia 1971 hadi mwaka 1974.
Mwaka 1975 hadi mwaka 1976 Marehemu John Komba alijiunga na chuo cha ualimu kilichopo Kleruu Iringa, Kusini Magharibi mwa Tanzania ambapo alihitimu cheti cha ualimu.
Marehemu John Komba ni mwanajeshi ambaye alipata mafunzo ya uafisa wa Jeshi katika chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli kaskazini mwa Tanzania mwaka 1977 hadi mwaka 1978.
Keptain John Komba pia alipata mafunzo mengine ya siasa kutoka chuo Kikuu cha Washngton International ambapo alitunukiwa shahada ya siasa mwaka 2006 hadi mwaka 2008.
Chanzo: BBC
rip kaputeni..