Mingoi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 11,715 Reaction score 6,124 Feb 28, 2015 #21 R.I.P Komba
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,449 Reaction score 10,300 Feb 28, 2015 #22 Taarifa zisizothibitishwa zinasisitiza kuwa ni kweli kafariki.
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,478 Feb 28, 2015 #24 Kama hajafa kweli nitaamini maneno ya Mwl Nyerere alieliita jiji la Dar kama rumours' ville..
Mapengo 17 R I P Joined Mar 28, 2014 Posts 1,228 Reaction score 618 Feb 28, 2015 #25 Wakuu nimepata taarifa kupiti Uhuru Fm kuwa John Komba, hawahaeleza kuwa chanzo cha kifo chake ninini. Mwenye taafika zaidi tunaomba msaada,nilikuwa nje ya mtandao kwa mda mrefu kidogo sijui kinachoendelea duniani.
Wakuu nimepata taarifa kupiti Uhuru Fm kuwa John Komba, hawahaeleza kuwa chanzo cha kifo chake ninini. Mwenye taafika zaidi tunaomba msaada,nilikuwa nje ya mtandao kwa mda mrefu kidogo sijui kinachoendelea duniani.
Eistein JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 1,107 Reaction score 482 Feb 28, 2015 #26 duuh, Komba? a.k.a mzee wa msituni? umekufa mapema sana mzee, ulitakiwa ubaki hai ushuhudie katiba yako ikipingwa na wananchi lakini pia ukiona mabadiliko makubwa kabisa yakitokea mwaka huu.. pole sana, Mungu akulaze unakostahili..
duuh, Komba? a.k.a mzee wa msituni? umekufa mapema sana mzee, ulitakiwa ubaki hai ushuhudie katiba yako ikipingwa na wananchi lakini pia ukiona mabadiliko makubwa kabisa yakitokea mwaka huu.. pole sana, Mungu akulaze unakostahili..
Mingoi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 11,715 Reaction score 6,124 Feb 28, 2015 #27 R.I.P Komba
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,303 Feb 28, 2015 #28 Duh!masikini Komba!
Mpitagwa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 2,338 Reaction score 1,126 Feb 28, 2015 #29 Ni kweli
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,314 Feb 28, 2015 #30 Kama kweli apumzike kwa amani nasi safari ni moja njia moja
M Mathias Lyamunda JF-Expert Member Joined Apr 4, 2013 Posts 1,369 Reaction score 559 Feb 28, 2015 #31 Amefarikije? au Uzushi tu.
Roho Mbaya JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 777 Reaction score 677 Feb 28, 2015 #32 Rip komba
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,890 Reaction score 17,744 Feb 28, 2015 #33 hii habari imenishtua sana...kifo hakizoeleki jamani..kila nafsi itaionja mauti....vijana wenzangu tuupokee msiba huu kwa utulivu mkubwa
hii habari imenishtua sana...kifo hakizoeleki jamani..kila nafsi itaionja mauti....vijana wenzangu tuupokee msiba huu kwa utulivu mkubwa
L LENDEYSON JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 2,996 Reaction score 2,659 Feb 28, 2015 #35 Dah! APEPE!
buhange JF-Expert Member Joined Oct 23, 2011 Posts 505 Reaction score 110 Feb 28, 2015 #37 Mmmh! Acheni jamani
sblandes JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 6,980 Reaction score 4,986 Feb 28, 2015 #39 R.I.P Komba
kibafute JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 560 Reaction score 203 Feb 28, 2015 #40 Kwa misukosuko ile anatakiwa awe na roho ngumu sana kuweza kuishi