Aisee. Simpendi kama nisivyowapenda ccm wengine lakini kupiga picha mwili wa marehemu na kuisambaza not good!! Maiti ipewe heshima yake. Mods tafadhalini iondoeni hii picha ya ya mwili wa marehemu.
R.I.P captain. kazi ya Mungu haina makosa. umeacha pengo ccm, nyimbo zako zingehitajika sana kipindi si kirefu kijacho. Mtunzi hodari, nitakukumbuka tu kwa ule wimbo wa mwalimu. Bila shaka wasanii watakuaga kwa heshima unayostahili.