Picha msibani.
Msiba upo Mbezi Beach Tangi Bovu,Kuna kituo maarufu kama Kwa Komba.
Rais Kikwete akisaini kitabu cha Kumbukumbu kwenye Msiba wa Kapt. komba
Mama Salma Kikwete akisaini kitabu kwenye msiba wa Kapt. Komba
Waziri Membe akisaini kitabu kwenye Msiba wa kapt. Komba
Rais Kikwete na Mkewe wakimfariji mke na Familia ya Kapt. Komba
Rais Kikwete akimfariji Hadija Kopa wa Bendi ( TOT) iliyokuwa inamilikiwa na Kapt. Komba
View attachment 230813
Mh. Lukuvi akimfariji mke wa Marehemu Komba, Bi Salome Komba
View attachment 230814
Khadija Kopa akilia kwa Uchungu nyumbani kwa Komba.
View attachment 230815
Mh. Sugu, Lukuvi na Lema wakiwa msibani nyumbani kwa marehemu Komba.