Capt. Ibrahim Traore: A Slave who does not rebel doesn't deserves Pity

Ni kwamba kingereza shida kaka au?
Mtumwa ambaye hana lengo au mpango wa kupambania uhuru wake kwa njia yoyote hapaswi kuonewa huruma.

Hakuna haja ya kumpambania mtu ambaye hataki kupambaniwa, ni rahisi kama hivyo

Au uliona hio quote ukakimbilia kufungua uzi?
 
Dogo yupo sahihi na Nina muunga mkono
 
Hii imeenda
 
Africa ni kama mwanamke yaani kila mtu anakula mzigo kwa wakati wake! Africa, wamekula wazungu wa magharibi weeee, kwa sasa wanakula wachina na warusi, na waarabu wanapiga jaramba kwa kwa karibu.
 
Ficha ujinga wako.....acha mihemko ya kike
 
Ilibaki kidogo nikachome cheti changu Cha lugha,,,

Jamaa katafsiri uongo halafu anakuja kulia Lia na hao ndo unakuta wanapelekwa kudiscus policy na contract za nchi[emoji23]
 
Papai jingine hili. We unaona kile waniger wanachofanyiwa na ufaransa ni sawa?
 
Lumumba alikuwa na tatizo gani?
 
Asante Ngugi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…