Habari ya kazi mkuu.
All taxes and fees after purchase of surveyed land in Tanzania.
1. 1% registration fee
2. 1% stamp duty
3. 80k approval fee
4. 40k manispaa
TRA
1. 3% Capital gain
2. Risiti ya ziro ziro(hii ni ile taarifa ya kuonesha kiwanja husika hakidaiwi kodi ya pango)
Ukumbuke bei itakayotumika kama msingi wa kodi ni ile iliyo juu baina ya bei ya kwenye mkataba ama ile iliyopo katika valuation report.
Karibu mkuu unipe hii kazi niifanye kwa gharama nafuu kama ipo Dar es salaam.