1. Umeweka APN ambayo inablock non-web traffic, hvyo unaweza kubrowse lakini huwezi kutumia apps kama whatsapp.
Weka APN settings sahihi. unatumia mtandao gani?
Nadhani itakua airtel au halotel
2. Umezuia baadhi ya apps kuaccess internet kwa mobile data, lakini umeruhusu internet kwa wifi
Nenda settings»wireless networks»data traffic management»networked apps
Halafu enable mobile data
settings hizo zinaweza kutofautiana kutokana na simu unayotumia.
Karibu mkuuAhsante mkuu...natumia vodacom
Simu ni samsung note 3
Haiwezi kukubali,Fanya APN setting ya voda.Nmereset natumia zile za default