Agape Kama G Member Joined Feb 19, 2013 Posts 59 Reaction score 9 Feb 16, 2015 #1 Kuna some Documents nimeweka kwenye "external disk" kutoka kwa Windows user,ila baadaye nilipo taka kuzi delete zina kataa na hiyo nime jaribu kwenye windows 8 na Ubuntu 14.04... Shida hapo itakuwa ni nini?? na Nina solve vipi hiyo challenge?
Kuna some Documents nimeweka kwenye "external disk" kutoka kwa Windows user,ila baadaye nilipo taka kuzi delete zina kataa na hiyo nime jaribu kwenye windows 8 na Ubuntu 14.04... Shida hapo itakuwa ni nini?? na Nina solve vipi hiyo challenge?
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Feb 16, 2015 #2 Inaleta erro gani?
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Feb 16, 2015 #3 just format it
Agape Kama G Member Joined Feb 19, 2013 Posts 59 Reaction score 9 Feb 16, 2015 Thread starter #4 inasema hivi "Unable to trash file: No such file or directory"
Agape Kama G Member Joined Feb 19, 2013 Posts 59 Reaction score 9 Feb 16, 2015 Thread starter #5 Hiyo OPtion ya Mwisho kama Solution haitapatikana