Watu 2 wenye uhitaji, zipo decoder mbili mpya. Wahi ujipatie kwa shs elfu 50 tu. Kufanyiwa installation na kifurushi, ni maongezi.
Zipo Dar Es Salaam/Tabata-Mwananchi.
Kina mambo mengi,ila kwa wapenzi wa mpira ndo wanaenjoy zaidi, na ni kwa hizo packages mbili za mwisho. Hicho cha 22,500, zipo tu channels mbili za mpira, vya zaidi ni channels 5.
Kwa wale wavibanda umiza, ukilipia 65,000 unakuwa na package yote ya DSTV. Kwa hiyo, faida pia ni nyongeza ya League ya Ufaransa, uarabuni nk.
Hata wale waliokuwa na wasiwasi wa mpira kwa kifaransa, ukiwa na hiyo package ya DSTV, utafailia mipira yako kwa Kiingereza kama kawaida.
Kina mambo mengi,ila kwa wapenzi wa mpira ndo wanaenjoy zaidi, na ni kwa hizo packages mbili za mwisho. Hicho cha 22,500, zipo tu channels mbili za mpira, vya zaidi ni channels 5
Formula one ipo kwenye package hiyo kubwa. Ski,cycling, motorcycle,......... Hiyo ni Eurosport.
Au, ukinunua kifurushi, kwa siku saba unakua unaweza kuona cha zaidi yake. Maana yake,ukilipia hicho no 3, kwa mda wa siku saba utaweza kufatilia hayo mashindano ya formula 1