Hahahaaaaaa habari yake bia, utanitumiaje hiyo bia we taluma deni hili ujue! halafu ID yako hii ngoja nijitahidi kusoma katikati ya mistari
Habari yake Maty bana, Maty hii Id hata mimi kuna wakati nilistuka lakini nikapotezea, ngoja tuisome kwa makini kweli!!!!!!!!!
je kwa mwanaume kuoa mwanamke jobless, hiyo ni fair? hebu nifafanulie hapo....pls usidharau post hii!!!
Will he be independent or your prisoner?
wewe muoaji ndio uangalie kama ni fair au lah. Inawezekana job sio kigezo kwako. Na wewe ukiwa kama kichwa inabidi uwe umejipanga bwana.je kwa mwanaume kuoa mwanamke jobless, hiyo ni fair? hebu nifafanulie hapo....pls usidharau post hii!!!
Maty & LD,
Mnakaribia kuvunja sheria mmoja wapo hapa JF ......!
Siwezi kuolewa na joblessman otherwise awe ana elimu ya kutosha nitajipa matumaini kuwa atapata kazi.
Maty, jamani mbona nakwenye CV yangu nimeweka ''nakunywa bia'' na kwenda club? nilikuwa nauliza tu kama unakunywa....ulinifurahisha sana ile post mama.....! we ni dai tu Maty.....huwezi jua tukikutana bahati inaweza nidondokea ''refer signature yangu" .
Hahahaaaaaa sina vigezo nina watoto 3, tukikutana nitapata bahati ya kunywa bia tu
Maty & LD,
Mnakaribia kuvunja sheria mmoja wapo hapa JF ......!
Yap my dear you are very right, Nadhani huyu jobless ambaye nilimwelewa mwanzo ni tofauti na huyu, Kwa sababu kama mtu ana Elimu, anajua kufikiria, ana maono na mawazo ya maendeleo hana tatizo hata kidogo. Kama utakuwa umenisoma hapo juu nadhani utanielewa.
Na nina Amini kabisa maisha ni Mungu anapanga na tunaishi kwa Neema ya Mungu tu.
Mmmmh nimeacha baba angu, wala hatusomi tena.
Mzima lakini baba!!
:tape::tape::tape:
Now u are talking mamito.......ila PM yako sijaiona bado!
Orait Taluma, Mmmmh PM hapana baba, already booked!!
Unajua nini Taluma yawezekana kweli nilikuelewa vibaya, yani nilidhani unamtetea huyu mtu ambaye ni jobless, vissionless,thinkless, Mindless, yani ni less less less isipukuwa bedless.
Huyu hapana ntaishi tu peke angu. Lakini huyu ambaye ni Mwanaume wa ukweli hana kazi leo kesho atakuwa nayo, anajua kuchakarika hapa na pale, alaa mbona nitamsaidia tunafungua duka anaendesha huku akiwa anasubiria kazi, duka likichanganya anaeza asitake tena hata hiyo kazi akaendelea na bussiness tuuuuuu!!
Hahahaha hahahaha maisha yanaendelea Taluma wangu.
Ajue kuzitafuta na awe smart,.kuna mtu anaeza kuwa na job lakini his mind is just in that box,hafikirii kutoka vingine,yani siku akifukuzwa ndo bas tena..:suspicious:
Are we talking about marriage or building a Rocket...????
Am a Kaka thanks.... nimekuelewa sana and building a rocket i meant in terms of smartness, not the money...., the brains..., and my point was is trying not good enough....???I think hukunielewa kaka o dada,what i meant was being jobless sio a big issue but is he smart enough,au kwenye ndoa mtakua mnaangaliana with no food on the table,clothing etc?.i didnt ever mention of sm1 having money enough to build a rocket..au ulitaka niseme am ok with a guy who will just stay at home,do nothing, not thnkin of nythng and i do all that?.
Am a Kaka thanks.... nimekuelewa sana and building a rocket i meant in terms of smartness, not the money...., the brains..., and my point was is trying not good enough....???
He can be a hard worker, therefore become the muscles behind the project and you can be the brains behind the project.
What i emphasized is smartness is not an essential ingredient so long as you are smart and he can do what you tell him you can work as a team...., after all you are partners...
acha uvivu ndio maana nchi inaingia mikataba mibovu wazee hawamalizi kusoma contract agreement yote
Jobless ndio nini? hana mikono, hakupata kazi au hataki kufanya kazi?
Kama hataki kufanya kazi huyo si mwanamume hafai kuoa wala kuozwa
Kama hakupata kazi atafute afanye kazi yoyote ile..riziki haifuati mtu akiwa amekaa..akijishughilsha inakuja..kwa Muumba