Waulize wakiomba picha. Ukituma selfie anataka picha full.
Unamuuliza unataka uone nini? Kumbe anataka aone tako.
Hayo yanakuwa matumizi mabaya ya baby.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo no money no baby baby
Huyu ni Moto wa kuotea mbali..Ah Khantwe huyo ni special case. Huyo nikikutana na comments zake huwa naweka kwanza simu pembeni ili nicheke vizuri.
We leo hata sitaki kubishana na wewe. Tena unitue kabisa.Mapenzi ya kweli yapo bibie. Tena yapo wazi kabisa.
Haya ni maneno ya below 30 years of age... wallah, come 30 and above..... Kiswahili mhiki utakibadili bila kushawishiwa na yeyoteKusema kweli mimi siwezi kuwa na mwanaume asiyenipa pesa iwe kwa kutoa mwenyewe au kwa kumuomba.
Siwezi kabisaaaa kwanza advertise zangu utaniacha mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]We leo hata sitaki kubishana na wewe. Tena unitue kabisa.
Hebu usitudumazie hawa watoto wetu. Hamuwatendei haki ndio maana kuna haya meningine unayakuta miaka 30+ bado ananyang'anyana remote na wadogo zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]aiseeee
Haya ni maneno ya below 30 years of age... wallah, come 30 and above..... Kiswahili mhiki utakibadili bila kushawishiwa na yeyote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mwanaume anayetoa hela unaanzaje kumuacha?
Unaanzaje kuwa mkaidi kwake? Unaanzaje kumpimia kumpa bumunda?
Unaaanzaje kutokumsuprize na msosi wa maaana na kuona kitu kizuri kumnununulia?
Mwanaume anayetoa hela ni dhambi sana kumnunia.
Mwanaume akija au ukitembea nae kila mtu anajua huyu ni mwanaume hata yeye anajiamini kifua mbele anatembea na mkono amemshika mwanamke wake.
Wanataka mwanamke mzuri na ana wowowo kutoboka hawezi.WOWOWO [emoji12]
Si ndio hapo sasa. Na akiona tako halipo basi tena na mtongozo unaishia hapo sasa na sisi kwanini tusiangalie pesa zao tu.Waulize wakiomba picha. Ukituma selfie anataka picha full.
Unamuuliza unataka uone nini? Kumbe anataka aone tako.
sante kwa kuniamini, lakini hiyo sentensi mhnnn...Ngalikihinja nakuamini.