Nimecheka sana, hasa nilipoona hao wake watatu wa raisi wamesinzia, inamaanisha mzee anawapiga mashine kisawasawa. the pride of an African women ni kuwa mnene. mke akiwa mwembambamba jamii inaona kama unamtesa. hata wakwe watauliza. halafu hebu fikiria kama unaishi dar maeneo kama mwanayamala, mazenze au sehemu oyote ambayo hakuna hata semehu ya kunyia mazoezi utafanyaje?