Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,397 Reaction score 10,842 Nov 23, 2016 #41 mamaafacebook II said: Hapati internet Kwa siku tatu Na huduma Kwa wateja nao hawapatikan anataka kuwapeleka mahakani/ kuwqshtaki halotel Click to expand... asante kwa kutusaidia na lugha... yani baada ya kusoma kwako nimecheka sana madai ya mjamaa kuwapeleka mahakamani halotel!!!
mamaafacebook II said: Hapati internet Kwa siku tatu Na huduma Kwa wateja nao hawapatikan anataka kuwapeleka mahakani/ kuwqshtaki halotel Click to expand... asante kwa kutusaidia na lugha... yani baada ya kusoma kwako nimecheka sana madai ya mjamaa kuwapeleka mahakamani halotel!!!
haloo JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 569 Reaction score 217 Nov 23, 2016 #42 Waswahili wanajifanya wazungu wakati wazungu wenyewe wao wanajitukuza na kuwadharau waswahili