campaign manager (Lemutuz) asema ushindi mapema

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,767
Msomi na mfanyabiashara mkubwa jijini Dar es salaam na ambaye pia ni kampeni meneja wa mgombea ubunge Moshi mjini ,William Malecela aka Lemutuz amesema kupitia akaunti yake ya instagram kwamba ushindi kwa mgombea Ubunge (MOSHA) ni mkubwa na ni mapema sana.
 

Attachments

  • 1441568316358.jpg
    55.8 KB · Views: 374
Msomi Na Mfanyabiashara mkubwa jijiji Dar Es Salaam.
Hahahaha... Nimependa hiyo statement tu.
Naona Unampaka Le Baharia Chupa kwa mgongo wa Mafuta
 
Kwavile wamechaguana wote ni Watoto wa mujini, ni sawa.
 
mfanya biashara mkubwa na msomi hiyo wadanganye wasiojua
 
Moshi mjini inakwenda CHADEMA kupitia Jafarry
 
alishindwa kujifanyia mwenyewe kampeni bunge la afrika mashariki ndo akafanye moshi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…