hapana lazima nimwonyeshe utabe wangu ili anikumbuke na asimulie kwa wajukuu zake. ntamwadhib vibaya mno c vipigo hapana ni kuweka waz kile anachokifanya kwa ndugu zake
halaf kama ushaona ii kitu ni upuuzi sepa kimya kimya wala cjakuomba mchango wako bali wenye nia ya kunielimisha na kunisaidia. na ndo maana niko hapa. ningelikua na maujanja nsingekuja hapa