Watu wanatumua kila aina ya zana. Ila nilichogundua, kila kitu ni utaalam. Unaweza kuwa na vifaa ukatoa boko. Umeona zile short movies za shot by iphone 13 pro max cinemax, aisee ni balaa kama movie movie kweli.Habari wana jf,
Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza kupata pesa na youtube naomba wanajamii tusaidiane kwa hilo
Simu yoyote yenye hd inaweza kushoot atleast iwe na 20mpx mi nashoot na samsung A50Watu wanatumua kila aina ya zana. Ila nilichogundua, kila kitu ni utaalam. Unaweza kuwa na vifaa ukatoa boko. Umeona zile short movies za shot by iphone 13 pro max cinemax, aisee ni balaa kama movie movie kweli.
Ziko youtube
Kuhusu camera si lazima iwe ya simu yaani namanisha camera yoyote unatumia iwe simu au camera za kawaida. Hapo kikubwa utoe picha/Video zenye ubora.Habari wana jf,
Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza kupata pesa na youtube naomba wanajamii tusaidiane kwa hilo
sumaung s8+ video qulity ikoje mkuuSimu yoyote yenye hd inaweza kushoot atleast iwe na 20mpx mi nashoot na samsung A50
Lete hela nina mzigo mkali sana kwa ajili ya shughuli za online ,utube ,fb live ,inster nichek pmHabari wana jf,
Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza kupata pesa na youtube naomba wanajamii tusaidiane kwa hilo
Wataalamu wanasema fanya you tube kama huduma, pesa zije zenyewe na usiwaze pesa utafel. You tube wengi ni hoby.Habari wana jf,
Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza kupata pesa na youtube naomba wanajamii tusaidiane kwa hilo
Video quality ni HD ila hutakuwa na hilo bando la kuweka quality ya GB 2 mtandaoni kwa video ya dakika 5. Lazima ushushe quality.sumaung s8+ video qulity ikoje mkuu
Kwenye ku edit nichek nina exprience kidogo tunaweza shareWataalamu wanasema fanya you tube kama huduma, pesa zije zenyewe na usiwaze pesa utafel. You tube wengi ni hoby.
Mimi mwenyewe nna hoby ila ya education video.
You tube kuna video zina miaka 5 hazina view.
Ingia Amazon google youtube camera utapata the best kisha agiza kwa wakala
Ila kama una budget ndogo chini ya milion nunua simu nzuri ya laki 6,7,8 itakupa matokeo mazuri.
Issue sio kamera bali expeience ya kutumia kamera iwe ya simu au special camera.
Zipo App ziaaweza ongeza ubora wa video.
Mi natumia sam sung S8+.
Ishu kubwa nilioiona ni changamoto ni mwanga na utaalamu wa ku edit.
Unaweza kunisaidia kuongeza mwanga kwenye video nilioshoot bila mataa maalumuKwenye ku edit nichek nina exprience kidogo tunaweza share