iPhone 7 ni simu ambayo camera zake zinasumbua, ukiacha audio IC ugonjwa mwingine wa iPhone 7, hasa iPhone 7 Plus ni rear Camera kufail.
Hiyo muda mwingine inaweza sababishwa na kudondoshwa, lakini pia kuna ripoti toka kwa watumiaji wengine kwamba tatizo linaanza lenyewe tu.
Tiba hapo ni kubadili Camera tu. Nitakusaidia kwa hili popote ulipo. Nambie ni iPhone 7 Plus au 7G, na camera yenye shida ni ipi, rear au front?