Camera ya nyuma ya iPhone 7 haifakazi

Camera ya nyuma ya iPhone 7 haifakazi

iPhone 7 ni simu ambayo camera zake zinasumbua, ukiacha audio IC ugonjwa mwingine wa iPhone 7, hasa iPhone 7 Plus ni rear Camera kufail.
Hiyo muda mwingine inaweza sababishwa na kudondoshwa, lakini pia kuna ripoti toka kwa watumiaji wengine kwamba tatizo linaanza lenyewe tu.

Tiba hapo ni kubadili Camera tu. Nitakusaidia kwa hili popote ulipo. Nambie ni iPhone 7 Plus au 7G, na camera yenye shida ni ipi, rear au front?
 
Ni rear camera na ni 7G
 
Umenikumbusha nilinunua 7plus flani mwaka juzi nimekaa nayo mwezi rear camera ikawa inaweka blur uwe video au picha nikajua ni lens nikaenda kununua mpya wapi IPO vilevile nikaona ujinga uuu ilibidi niulizie camera mpya na used ya simu iliokufa niuziwe kama spear niipachike mpya 60k used sikupata nikarudi siku nyingine nilizunguka Kwa mafundi k/koo nzima nikampata jamaa ana 7plus yake haina shida alikuwa na shida na pesa ya fasta alinuiza 30k na fundi umoumo na ile camera yangu nikamwachia ile yake alio niwekea ilikuwa inapiga picha ajabu nilimshukuru kweli.
 
Back
Top Bottom