Camera Nikon D50 inauzwa

Camera Nikon D50 inauzwa

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,290
Reaction score
1,428
Nauza camera Nikon D50 pamoja na memory card,Camera ipo katika hali nzuri ,Bei Tsh 600000.00 .Piga simu 0712652110 Dar
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    230.1 KB · Views: 23
  • image.jpeg
    image.jpeg
    251 KB · Views: 23
Soma maelezo sio unakurupuka tu

Rekebisha tarakimu. Umeandika 60000 (Bei Tsh 60000.00 .Piga simu 0712652110) sasa mtu anakurekebisha, wewe unasema anakurupuka. Nani kakurupuka kati yako au yeye?
 
Soma maelezo sio unakurupuka tu
ukijifunza adabu utakubalika na wengi. tukuelekeze bure ili ukosoe maandishi yako unaleta jeuri. awali uliandika 60000 baada ya kurekebisha unaleta dharau badala ya shukurani!! watanzania mtasubiri sana kuteka soko la mitandaoni.
 
Back
Top Bottom