Camera na laptop vinauzwa kwa pamoja

Camera na laptop vinauzwa kwa pamoja

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,595
Samsung mini laptop yenye ram 2gb,processor 1.6GHz, HDD 320gb, na webcam
Camera aina ya samsung megapixels (mp)16.2.
Bado vina valid warranty cards.

Bidhaa zote zinauzwa kwa pamoja kwa bei ya 520,000TZS.
Nipo DSM.
 
mkuuu upload picha mie nataka hiyo Samsung mini pia weka model namba yake
 
Samsung mini laptop yenye ram 2gb,processor 1.6GHz, HDD 320gb, na webcam
Camera aina ya samsung megapixels (mp)16.2.
Bado vina valid warranty cards.

Bidhaa zote zinauzwa kwa pamoja kwa bei ya 520,000TZS.
Nipo DSM. 0682 814 032.

Picha za products ni hizi
 

Attachments

  • 1405395829941.jpg
    1405395829941.jpg
    21.7 KB · Views: 149
  • 1405395850967.jpg
    1405395850967.jpg
    9.3 KB · Views: 255
  • 1405395865240.jpg
    1405395865240.jpg
    34 KB · Views: 156
mwenye digital camera anaeiuza aweke details na bei maana nahtaji na iwe na uwezo mzuri!!!

Ipo samsung megapixels 16.2, ina wi-fi. Bdo ina valid warranty kutoka phone one Ltd-mlimani city.
Nipo dsm
Bei 210,000.TZS. ukinicheki tutaongea
Picha yake ndo hii:
 

Attachments

  • 1405478695355.jpg
    1405478695355.jpg
    34 KB · Views: 111
Back
Top Bottom