Ila walinzi wa Rais wa Tz hawana presha kabisa yaani wanakula shushu kwenda mbele na kusafiri tu hivi kuna threat kwli kwa kikwete au lets say Pinda, hata mi naweza kuwalinda
Ila walinzi wa Rais wa Tz hawana presha kabisa yaani wanakula shushu kwenda mbele na kusafiri tu hivi kuna threat kwli kwa kikwete au lets say Pinda, hata mi naweza kuwalinda
Best si unajua jamaa anavyopenda pomps. Ujue anawalinzi kibao utadhani waziri mkuu wa Israeli. Walikwenda siku moja kwenye ziara nilikuwa likizo huko Bongo walikuwa wengi dunia nzima me nkadhani jamaa anakaribia kupinduliwa!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">