Camera digital, meza, king'amuzi, friji, sofa, (used) for sale

majuba

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
51
Reaction score
10
Camera ya Sony(mega pixels 10.1)100000,Meza ndogo mfano Wa stuli bei 80000,king'amuzi cha star times 50000,sofa 450000,friji Samsung original limetumika miezi Tisa 650000
Karibuni waungwana tufanye biashara!mawasiliano no 0714908998,0759258748.
 
Attachments

  • IMG_20141114_070811.jpg
    IMG_20141114_070811.jpg
    138.7 KB · Views: 455
  • IMG_20141114_070757.jpg
    IMG_20141114_070757.jpg
    184.3 KB · Views: 446
  • IMG_20141113_100205.jpg
    IMG_20141113_100205.jpg
    361.3 KB · Views: 434
  • IMG_20141113_100236.jpg
    IMG_20141113_100236.jpg
    352.6 KB · Views: 427
  • IMG_20141031_113742.jpg
    IMG_20141031_113742.jpg
    337.5 KB · Views: 452
  • IMG_20141031_111912.jpg
    IMG_20141031_111912.jpg
    339.2 KB · Views: 486
  • IMG_20141031_112035.jpg
    IMG_20141031_112035.jpg
    351.9 KB · Views: 431
  • IMG_20141023_200243.jpg
    IMG_20141023_200243.jpg
    299.7 KB · Views: 390
We jamaa utakuja kujutia uamuzi wako siku moja, najua unauza vitu vyako vyote kwakuwa unataka kwenda ujerumani, kumbuka ulichokiandika hapa ''[h=2]Topic: Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu[/h]by majuba

Replies780Views75,836​

[h=3]
icon1.png
re: Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu[/h]
Jamani members nisaidieni mm nataka kwenda German December mwanzoni nikawe tu babysitter cause maisha bongo yamenishinda nina degree Mona ajira za kamlete.mm sina ndugu kibosile.na Nina watoto maisha...''​

Pia unauza na kiwanja chako kilichopo picha ya ndege kibaha kwa milioni 5 kina kama sqm 658.

Huo ni upuuzi, tumia mbinu ulizotumia kupata hivyo vitu hapa bongo. Ujerumani maisha ni magumu sana kwa wageni, sera zao katika ajira za wageni ngumu sana. Sijasimuliwa ila nimeona kwa macho yangu.

Kila la heri mkuu, kama sio mwizi ukifikia Hamburg au Berlin nitafute nikupe connection ya wabongo na wajerumani.
 
Kiukweli hayo wanamambo hayo ni ya zamani sana, zamani watu ndio walikuwafikiria kuwa maisha yapo nje ya nchi lakin ukiwauliza waliopo huko watakupa mwanga. Baki Bongo tafadhali, unaweza uza vitu vyako vyote bure halafu mwisho wa siku hata visa usipate
 
Biashara na masuala ya safari ni ya with wawili tofauti boss!visa na ticket msafir amepata tyr!na Dalali muuzaji ndio hiyo namba yake.so usichanganye mada boss!pia msafiri ana watu wake Kule na haitaji connection yoyote toka humu jf.aliweka kama mada wabongo engine watoe mawazo yao!na hutoa wazo before so piga kimya mkuu.
 
Mshauri nasaha inaonekana kazi c yako umevamia fani!haiwezekani suala la German utolee ushauri kwenye tangazo la biashara!mwenye bidhaa anadaiwa na fin a.mlipie basi maana unajifanya kufatilia post za nyuma na kulinganisha na matangazo il I uonekane umechangia nawe.
 
We jamaa utakuja kujutia uamuzi wako siku moja, najua unauza vitu vyako vyote kwakuwa unataka kwenda ujerumani, kumbuka ulichokiandika hapa ''[h=2]Topic: Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu[/h]by majuba

Replies780Views75,836​

[h=3]
icon1.png
re: Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu[/h]
Jamani members nisaidieni mm nataka kwenda German December mwanzoni nikawe tu babysitter cause maisha bongo yamenishinda nina degree Mona ajira za kamlete.mm sina ndugu kibosile.na Nina watoto maisha...''​

Pia unauza na kiwanja chako kilichopo picha ya ndege kibaha kwa milioni 5 kina kama sqm 658.

Huo ni upuuzi, tumia mbinu ulizotumia kupata hivyo vitu hapa bongo. Ujerumani maisha ni magumu sana kwa wageni, sera zao katika ajira za wageni ngumu sana. Sijasimuliwa ila nimeona kwa macho yangu.

Kila la heri mkuu, kama sio mwizi ukifikia Hamburg au Berlin nitafute nikupe connection ya wabongo na wajerumani.
Usilolijua litakusumbua!nilijua huko German nawe umekaa kumbe stories tuu umezisikia,pig a kimya basi!hili tangazo la biashara na sio masuala ya visa hapa!unaniharibia biashara Yang UA udalali mkuu engine huku kwetu tumefungua acc jf kusaidia na ndugu jamaa na marafiki wasio na uwezo Wa kumiliki simu zenye uwezo Wa Internet. Toka ndukiiii
 
wadau nina samsung galaxy note 3 naiuza inaweek tatu tuu ukihitaji had rsit ntakupatia, kwa anaehitaji ani pm
 
Back
Top Bottom