Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,010
- 26,153
Lawama mwanzoni kabisa zilienda kwa majini baada ya watu kuuangalia marejeo vizuri ya mpira ndipo lawama zikaenda kwa hao uliowatajaLast time baada ya kichapo cha goli 5-1, lawama zilipelekwa kwa Mangungu, Manula, Chama, Nassoro Kapama, nk. Safari hii mzigo wa lawama amebebeshwa Mussa Camara na Ramadhani Kayoko!!
Hivi nyinyi simba ndiyo kusema hamtakiwi kufungwa na Kaka yenu Yanga, au!!!
Yanga + Kayoko = UshindiYanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania
Ndio, Yanga waliingilia mlango upi,Lawama mwanzoni kabisa zilienda kwa majini baada ya watu kuuangalia marejeo vizuri ya mpira ndipo lawama zikaenda kwa hao uliowataja
Simba imepoteza mechi moja na droo. Camara amesababisha goli la kizembe ambapo alipaswa ama kuuacha uende nje ama kudaka na alipotema kuurukia tena.
Kuanzia jana, Simba wamerusha taulo ulingoni, Yanga hawapotezi tena mechi na Simba hatokaa kumkutia Yanga.
Kayoko naye ni mhsika, wakati wa faulo hatoi faulu, mwamuzi uwe calm, uwe na hekhma, msimu ulipita mechi mbi ya Azam na Simba .
Aliamua kuchukua kitanzi na kuininginiza Simba, Matukio mawili ya Kibu Dennis ni Penalty, very clear lakini KAYOKO anayeshutumiwa kujengewa nyumba ya kifahari na bwana mmoja mwenye asili ya ghuba anafunga macho.
Tukio la kwnza, muadhir alipiga mguu wa kushoto wa kibu, ilikuwa penalty.
tukio la pili, Kibu na Shedrak boka, akamuangukia Aucho, lakini Kayoko amewatia Simba kitanzini na haitajirudia.
Simba amenyimwa PENALTY TATU.
Wakati wa mashabiki wa Simba kumkataa Kayoko.SIMB
SIMBA PIA ALINYIMWA KUPEWA CARD NYEKUNDU! ILE YA ABDURAZAK ILIKUA STRAIGHT RED CARD!!!Simba imepoteza mechi moja na droo. Camara amesababisha goli la kizembe ambapo alipaswa ama kuuacha uende nje ama kudaka na alipotema kuurukia tena.
Kuanzia jana, Simba wamerusha taulo ulingoni, Yanga hawapotezi tena mechi na Simba hatokaa kumkutia Yanga.
Kayoko naye ni mhsika, wakati wa faulo hatoi faulu, mwamuzi uwe calm, uwe na hekhma, msimu ulipita mechi mbi ya Azam na Simba .
Aliamua kuchukua kitanzi na kuininginiza Simba, Matukio mawili ya Kibu Dennis ni Penalty, very clear lakini KAYOKO anayeshutumiwa kujengewa nyumba ya kifahari na bwana mmoja mwenye asili ya ghuba anafunga macho.
Tukio la kwnza, muadhir alipiga mguu wa kushoto wa kibu, ilikuwa penalty.
tukio la pili, Kibu na Shedrak boka, akamuangukia Aucho, lakini Kayoko amewatia Simba kitanzini na haitajirudia.
Simba amenyimwa PENALTY TATU.
Wakati wa mashabiki wa Simba kumkataa Kayoko.?
Nipewe kadi nyeundu pale mkuu ule mguu sikunyanyua sana.. ningefanya fujo sana pale kama ningepewa redSIMBA PIA ALINYIMWA KUPEWA CARD NYEKUNDU! ILE YA ABDURAZAK ILIKUA STRAIGHT RED CARD!!!
Ndio , it was straight Red.SIMBA PIA ALINYIMWA KUPEWA CARD NYEKUNDU! ILE YA ABDURAZAK ILIKUA STRAIGHT RED CARD!!!
Hamna kitu, muda utasema, mtaanza kutolewa CAF, na hapa ndani hamtaona kitu.Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania
Yanga amebebwa sana, na Simba wasikubali tena mechi zao kuchezeshwa na Kayoko, ni shida huyu mtoo.Mapenzi upofu!
Tukihesabu maanuzi yaliyokosewa in favour of Simba, zingefika bao 3!
Simba mmekuwa wanufaika wakubwa wa maamuzi ya upendeleo ya marefa!
Kumbuka ni juzi, Karia aliamua kuwa fair baada ya serikali aliyotaka kuifurahisha Mungu kuiweka pembeni!
Idd Amin Dada alisema ukiteka kuepusha upendeleo kwenye ndondi mtoe mtu kwa knock out!
MUOSHA HUOSHWA!!AZAM WANACHEKA SANA HUKO WALIPO MAANA MUNGU KAWALIPIA MACHOZI YAO!!Yanga amebebwa sana, na Simba wasikubali tena mechi zao kuchezeshwa na Kayoko, ni shida huyu mtoo.
Bora tuchukue refa kutoka nje.
Simba wanajenga timu, wapewe muda. Kayoko anazidi kukua apewe muda.Simba imepoteza mechi moja na droo. Camara amesababisha goli la kizembe ambapo alipaswa ama kuuacha uende nje ama kudaka na alipotema kuurukia tena.
Kuanzia jana, Simba wamerusha taulo ulingoni, Yanga hawapotezi tena mechi na Simba hatokaa kumkutia Yanga.
Kayoko naye ni mhsika, wakati wa faulo hatoi faulu, mwamuzi uwe calm, uwe na hekhma, msimu ulipita mechi mbi ya Azam na Simba .
Aliamua kuchukua kitanzi na kuininginiza Simba, Matukio mawili ya Kibu Dennis ni Penalty, very clear lakini KAYOKO anayeshutumiwa kujengewa nyumba ya kifahari na bwana mmoja mwenye asili ya ghuba anafunga macho.
Tukio la kwnza, muadhir alipiga mguu wa kushoto wa kibu, ilikuwa penalty.
tukio la pili, Kibu na Shedrak boka, akamuangukia Aucho, lakini Kayoko amewatia Simba kitanzini na haitajirudia.
Simba amenyimwa PENALTY TATU.
Wakati wa mashabiki wa Simba kumkataa Kayoko.?
Ongea kimpira banaSimba imepoteza mechi moja na droo. Camara amesababisha goli la kizembe ambapo alipaswa ama kuuacha uende nje ama kudaka na alipotema kuurukia tena.
Kuanzia jana, Simba wamerusha taulo ulingoni, Yanga hawapotezi tena mechi na Simba hatokaa kumkutia Yanga.
Kayoko naye ni mhsika, wakati wa faulo hatoi faulu, mwamuzi uwe calm, uwe na hekhma, msimu ulipita mechi mbi ya Azam na Simba .
Aliamua kuchukua kitanzi na kuininginiza Simba, Matukio mawili ya Kibu Dennis ni Penalty, very clear lakini KAYOKO anayeshutumiwa kujengewa nyumba ya kifahari na bwana mmoja mwenye asili ya ghuba anafunga macho.
Tukio la kwnza, muadhir alipiga mguu wa kushoto wa kibu, ilikuwa penalty.
tukio la pili, Kibu na Shedrak boka, akamuangukia Aucho, lakini Kayoko amewatia Simba kitanzini na haitajirudia.
Simba amenyimwa PENALTY TATU.
Wakati wa mashabiki wa Simba kumkataa Kayoko.?
Huwa hawakosi visingizio.Last time baada ya kichapo cha goli 5-1, lawama zilipelekwa kwa Mangungu, Manula, Chama, Nassoro Kapama, nk. Safari hii mzigo wa lawama amebebeshwa Mussa Camara na Ramadhani Kayoko!!