Calli for Interview stamico

Calli for Interview stamico

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habari wakuu.Stamico wametoa majina kwa ajili ya interview kwa lile tangazo la kazi lilorudiwa (Re-Advertised).visit website yao ucheck majina.Kila la kheli wote kwenye Interview.God bless you all.
 
thanks mkuu tumekupata ila kuna nyengine bado naona hawajatangaza sisi wengine tuliapply zile za mameneja naona hawajashortilist bado hizo ni only for juniour
 
Thanks mkuu kwa nyiongeza.Hizi ni za junior Sure.
 
rumours kwa waliofanya interview dec 13 wataitwa ln kazini
 
Kwa habari nilizozipata katika chanzo cha habari ni kwamba zile interview za mameneja teyari kwa hiyo zikimaliza hizo za juniour mchakato utakuwa teyari,hataa hivyo interview ya director general bado haijazaa matunda kwa kukosekana yule anayekidhi viwango kati ya wale waliofanyiwa interview.but pia mchakato unaweza kufanywa for appointing some one .
 
Vipi Sukhotel4000 au mdau wenye taarifa,

Kuna update yoyote?
 
mpaka sasa bado hopfully kuanzia next week hivi kuwa na subra kijana mambo yako yatakuwa super tuu huu mwaka wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom