Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 519
- 874
Pixel software yake inachanganya Kidogo nenda YouTube kachek video uelewe zaidiNimeshindwa kurekodi wakat unaongea na mtu kt simu 2 za google pixel , pixel 4a na pixel 5.
Kuna namna ya kufanya ili uweze kurekodi mazungumzo wakat unaongea kwa kutumia hizi simu za google pixel?
Ngoma ngumu hiiPixel software yake inachanganya Kidogo nenda YouTube kachek video uelewe zaidi
Mimi yangu Ilikuwa haisomi majina badae nikagundua inatakiwa ufanya contact import ila setting kuipata ilisumbua Kidogo
Mimi yangu yalikuja menyewe...ukiwa una save kwenye Gmail ukisha login tu account yako yanarudi..Pixel software yake inachanganya Kidogo nenda YouTube kachek video uelewe zaidi
Mimi yangu Ilikuwa haisomi majina badae nikagundua inatakiwa ufanya contact import ila setting kuipata ilisumbua Kidogo
Bei gani hiyo 5a.?
Njia ipo ila imekaa kilocal sana ani na haina ufanisi mzuri... Hapo mpaka 3rd party apps zihusike..Ngoma ngumu hii