sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
nimetumia ya BLACKBOX..afu mara nyingi sana hata mimi huwa natumia game za skidrow..sasa hii nahisi haijakamilika maana nlikuwa napitiapitia net humu kufuatilia isitoshe hata size yake ni ndogo (5GB before install and about 12GB after install) wakati ya skidrow ni kama 13GB before install pia hii ya blackbox haina MP kama ya skidrow..dah itabidi nifanye mpango nikutafute nikija dar maana saiz niko kusini huku..mi mwenyewe nilicheza mwanzo mwisho bila tatizo lolote. COD yako ni hacked ni group gani? (kwenye nfo utakuta imeandikwa ipo hacked na group gani). mimi hutumia games za SKIDROW unless wasiwe na game nayotafuta, unakuta crackers wengine wamefanya kazi nusu nusu na game inasumbua. kama upo dar nitakuwa more than willing kushare copy yangu na wewe. regards, leh
I have a Blackbox realease and I don't have a similar problem....labda jaribu kudownload SKIDROW au REALODED Realeases...nimetumia ya BLACKBOX..afu mara nyingi sana hata mimi huwa natumia game za skidrow..sasa hii nahisi haijakamilika maana nlikuwa napitiapitia net humu kufuatilia isitoshe hata size yake ni ndogo (5GB before install and about 12GB after install) wakati ya skidrow ni kama 13GB before install pia hii ya blackbox haina MP kama ya skidrow..dah itabidi nifanye mpango nikutafute nikija dar maana saiz niko kusini huku..
saiz yake ni ngapi uliyonayo (before install) maana hii yangu ni 5gb wakati nyingi ninazoziona ni kiuanzia 13gb..embu nihakikishie kama zinafanana nitafute tatizo ni nini kwa undani zaidi!!I have a Blackbox realease and I don't have a similar problem....labda jaribu kudownload SKIDROW au REALODED Realeases...
Kweli mkuu ulivyosema hlo game lina size ya gb 13 likiwa chini ya hapo ujue kuna vi2 vinamissaiz yake ni ngapi uliyonayo (before install) maana hii yangu ni 5gb wakati nyingi ninazoziona ni kiuanzia 13gb..embu nihakikishie kama zinafanana nitafute tatizo ni nini kwa undani zaidi!!
saiz yake ni ngapi uliyonayo (before install) maana hii yangu ni 5gb wakati nyingi ninazoziona ni kiuanzia 13gb..embu nihakikishie kama zinafanana nitafute tatizo ni nini kwa undani zaidi!!
Kama upon dar PM leh anaweza akawa naloMimi mbona la kwangu haliitaji installation unafungua unacheza tu thats ol,limekuja na gb 13 complete.
Pia napenda ku2mia uzi huu wana jf kuulizia game la assasin creed brotherhood tafadhali im dying 4 it,kama mwenye nalo 2saidiane tafadhali(pc version)_#sharing is caring#
dah yani ntashukuru sana..upo wapi sasa?
Kama upon dar PM leh anaweza akawa nalo
yeah na mimi ilichukua kama masaa 2 hivi na mpaka ile cmd ilipomaliza kabisa ...ila nisha solve mkuu...shukrani kwa msaada wako!!!Kitu kinachofanya liwe 13GB ni pamoja na Multiplayer which is useless to us anyway....yah la kwangu pia ni 5 gigs na lilichkua kama masaa 2 kuinstall. Maybe process ilikua interupted setup ilipokua ina unpack files.
nilidownload from kickass..its working now..thanks.dude hii data zako si nzuri kuna file itakuwa imecorrapt or in viruses jaribu kudownload upya through kickass or piratebay.
liko poa now..thanks.Kweli mkuu ulivyosema hlo game lina size ya gb 13 likiwa chini ya hapo ujue kuna vi2 vinamis
thnaks for your help..linafanya kazi now..pc yangu ni tosh, 64bit, intel core duo processor @2.20ghz, 4gb ram, 320gb hdd & win 8 os.hamna tatizo yeyote mi nina file ya 13gb na nimemaliza game vizuri bila matatizo you have to know how to install the game properly step by step,tulia vizuri na fuata step one by one bye the way nipe detail za pc yako
poa mkuu..mi nnalo assasin creed 3 tu for now..wish could help kama ningekuwa nayo...Mimi mbona la kwangu haliitaji installation unafungua unacheza tu thats ol,limekuja na gb 13 complete.
Pia napenda ku2mia uzi huu wana jf kuulizia game la assasin creed brotherhood tafadhali im dying 4 it,kama mwenye nalo 2saidiane tafadhali(pc version)_#sharing is caring#
Poa mkuu usijali I hope nitapata m2 ambaye analo hlo game na atanisaidia humuhmu jfnilidownload from kickass..its working now..thanks.
liko poa now..thanks.
thnaks for your help..linafanya kazi now..pc yangu ni tosh, 64bit, intel core duo processor @2.20ghz, 4gb ram, 320gb hdd & win 8 os.
poa mkuu..mi nnalo assasin creed 3 tu for now..wish could help kama ningekuwa nayo...