Source please....don't doctor comments hapa halafu unajifanya eti wewe ni messenger tu. put the link here so that we can dicifer (sic) it ourselves.
so what? to hell with him! we are happy with what we have, may be Gasana should try some where else, Burundi might be a good option for you guys... they are now living in hell under the influence of FDRL, good time to implement those theoriesHujaona Didas Gasana hapo au?
so what? to hell with him! we are happy with what we have, may be Gasana should try some where else, Burundi might be a good option for you guys... they are now living in hell under the influence of FDRL, good time to implement those theories
Anauliza murutongore anajibu mchambawima1...Acha kudandia treni kwa mbele.
haya basi iharakisheni Burundi basi! sisi huku tumetosheka na tulivyonavyo, na model yetu inalipa, kwa nini tuhangaike na theory za Gasana?hiyo report iko sahihi asilimia zote ni mtu asieelewa ndio ataipinga tu kwa ushabiki wake
Hujaona Didas Gasana hapo au? These are opinions my friend, sources huwa zinatakiwa kwenye news or reports. Hakuna ulazima wa kutoa link kwenye opinions kama tayari mwenye opinions ameshakuwa credited. Usikariri kijana. Kwani we umesoma hadi la ngapi? Au ni dropout kama rais wako? Huelewi simple rules kama hizi? Halafu the word is decipher, usiharibu lugha ya watu.
Sawa ..weka link hapo tujisomee wenyewe alichoandika huyo mwehu...tunakujua sana kwenye kuchakachua original articles na kuzitengeneza unavyotaka mwenyewe. Sisi sio wasomi lakini akili akili tunazo. Weka hapa hiyo link mara moja otherwise we will assume umeiandika wewe and we all know your ideology.
Nashauri uongozi wa jf kuanzisha Rwandans forum.members wapo wa kutosha.
Very good. So the Source is the Rwandan. Case closed. Haina haja ya kubishana tena. Hao tunawajua. Read it with a pinch of salt.wewe ukiassume haina shida, you don't matter.
Niliwahi kuliomba hili siku nyingi lakini nadhani hao JF wenyewe wakiangalia IP addresses wanaona:
1. zinatumia multiple IDs hivyo sio kweli kuwa Rwanda members wapo wengi, ni watu wachache wenye ID nyingi.
2. Zote ni za Tanzania. Hivyo probability ni kuwa sio wanyarwanda, bali watanzania wenye asili ya kinyarwanda.
jMali unamjua GENTAMYCINE?