Call for Job at PPF

Call for Job at PPF

Mkuu2015

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
65
Reaction score
15
Dear JF Members!

I have heard that some of applicants have received courtesy calls to report for career commencement at PPF!

Are these results of the same interview that was conducted at DUCE recently??

Any update please...

Thanks in advance
 
Duh,oral ilikuwa lini hasa kwa ile post tulofanyia wrtn pale duce.?!
 
Ila haya mshirika ya hifadhi za jamii sina imani nayo kabisa ktk suala la ajira. Kujuana kumekuwa ni kwingi sana. Isije kuwa hata zile wrtn intrvw zao zilikuwa ni just for formality,ila kuna watu wao tyr waliwaandaa..
 
Inasemekana ndo kamchezo ka hii mifuko! ila kama ipo ipo u never know Dunia siyo yetu hii apangaye Muumba
 
sijawahigi ku apply nje ya nilichosomea namshukuru mungu vyeti ndo vilinibeba maana hapa mjini sina ninaemfaham

tatizo kujuana kwingi huwenda mchakato tayarii

rushwa haziiishi tanzania labda kila mmoja aamue kuitokomeza
 
Naomba kujuzwa taarifa yoyote kuhusu mahitaji ya wataalam wa IT ktk kuboresha daftari la wapiga kura?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom