Pole...jfunze kua unanote pembeni vitu muhmu kama ivo baada ya kutuma maombi,pia ukitoka kwenye interview uchukuage number za watu mliokua nao ktk interview ili uwasiliane nao kujua kama wameita au vipi kuepuka kukaa na kujipa matumain utaitwa kumbe wenzio kazini kitambo