Call for interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

Call for interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
4,832
Reaction score
5,632
Habarini za asubui wandugu,

Kuna tangazo nimeliona kwenye AjiraZetu la kuitwa kwenye usaili Tume ya Mahakama utakaofanyika tar 6 October, 2015. kwa iyo wamesema majina yapo kwenye Daily News la tar. 28/09/2015 yaani la jana, kama kuna mdau anaweza kupiga picha kutupia umu itakuwa vizuri.

Karibuni wakuu!
 
Ishu ni majina tu lakini kwenye tangazo lao la usahili wamesema kabisa wote waliofanya maombi wameitwa na nadhani usahili ni kumbi za uwanja wa taifa sasa lazima tupate list ya majina na tangazo lenyewe tujiridhishe

Duuhh,, uwanja wa taifa tena,,!!!
 
Nimepita mtandaoni wamesema wote wameitwa hebu ngoja tusake gazet badae nitaleta jibu

Ata kama mkuu ni vizuri tukaona ayo majina mana uwezi kusema wote tumeitwa alafu usail ni tar 6/10
 
Back
Top Bottom