Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,937 Jun 15, 2019 #21 mbu wa dengue said: Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu. Click to expand... Ijumaa wameita tayari, usaili jtatu.
mbu wa dengue said: Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu. Click to expand... Ijumaa wameita tayari, usaili jtatu.
Lamar BlacAmerican JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 978 Reaction score 2,311 Jun 16, 2019 #22 Leteni tips za maswali basi yanayoweza kuulizwa!!!
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Jun 16, 2019 #23 Lamar BlacAmerican said: Leteni tips za maswali basi yanayoweza kuulizwa!!! Click to expand... Hapo ni ngumu kupewa Tips maana interview ina jumuisha kada 3 Madini,Accounts na Procure ko lolote linaweza tokea hapo boss.
Lamar BlacAmerican said: Leteni tips za maswali basi yanayoweza kuulizwa!!! Click to expand... Hapo ni ngumu kupewa Tips maana interview ina jumuisha kada 3 Madini,Accounts na Procure ko lolote linaweza tokea hapo boss.
Lamar BlacAmerican JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 978 Reaction score 2,311 Jun 16, 2019 #24 Mpombote said: Hapo ni ngumu kupewa Tips maana interview ina jumuisha kada 3 Madini,Accounts na Procure ko lolote linaweza tokea hapo boss. Click to expand... Lolote unamaanisha nini funguka???
Mpombote said: Hapo ni ngumu kupewa Tips maana interview ina jumuisha kada 3 Madini,Accounts na Procure ko lolote linaweza tokea hapo boss. Click to expand... Lolote unamaanisha nini funguka???
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Jun 16, 2019 #25 Lamar BlacAmerican said: Lolote unamaanisha nini funguka??? Click to expand... Maswali yeyote unaweza kutana nayo mfano,Current issues yanayohusu madini,au lolote lolote lile watakalohisi wao ni sahihi.
Lamar BlacAmerican said: Lolote unamaanisha nini funguka??? Click to expand... Maswali yeyote unaweza kutana nayo mfano,Current issues yanayohusu madini,au lolote lolote lile watakalohisi wao ni sahihi.
Lamar BlacAmerican JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 978 Reaction score 2,311 Jun 16, 2019 #26 Mpombote said: Maswali yeyote unaweza kutana nayo mfano,Current issues yanayohusu madini,au lolote lolote lile watakalohisi wao ni sahihi. Click to expand... mfano?
Mpombote said: Maswali yeyote unaweza kutana nayo mfano,Current issues yanayohusu madini,au lolote lolote lile watakalohisi wao ni sahihi. Click to expand... mfano?
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 11,083 Reaction score 14,565 Jun 16, 2019 #27 hamna lolote mnataka kuuhujumu uchumi tuu
kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 17, 2019 Thread starter #28 Dar wameita tayari? Avatar mok said: Ijumaa wameita tayari, usaili jtatu. Click to expand...
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,937 Jun 17, 2019 #29 Sijajua, wa Songea wametoka written mida hii kiziru said: Dar wameita tayari? Click to expand...
kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 17, 2019 Thread starter #30 Surely mkuu. Songea wamefanya written, kuna mshikaji ametoka kufanya. Lindi wamefanya jumamosi. Dar bado hatujapata taarifa rasmi Avatar mok said: Sijajua, wa Songea wametoka written mida hii Click to expand...
Surely mkuu. Songea wamefanya written, kuna mshikaji ametoka kufanya. Lindi wamefanya jumamosi. Dar bado hatujapata taarifa rasmi Avatar mok said: Sijajua, wa Songea wametoka written mida hii Click to expand...
poorbillionaire JF-Expert Member Joined Mar 4, 2014 Posts 424 Reaction score 241 Jun 18, 2019 #31 Jamani Dar na Morogoro wameshaita watu kwa interview!?
kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 20, 2019 Thread starter #32 Ngoja tusubiri taarifa kutoka kwa wadau poorbillionaire said: Jamani Dar na Morogoro wameshaita watu kwa interview!? Click to expand...
Ngoja tusubiri taarifa kutoka kwa wadau poorbillionaire said: Jamani Dar na Morogoro wameshaita watu kwa interview!? Click to expand...
poorbillionaire JF-Expert Member Joined Mar 4, 2014 Posts 424 Reaction score 241 Jun 21, 2019 #33 kiziru said: Ngoja tusubiri taarifa kutoka kwa wadau Click to expand... Huu uzi mbona umedorora ghafla!?
kiziru said: Ngoja tusubiri taarifa kutoka kwa wadau Click to expand... Huu uzi mbona umedorora ghafla!?
kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 22, 2019 Thread starter #34 poorbillionaire said: Huu uzi mbona umedorora ghafla!? Click to expand... Kuna taarifa nimepewa kuwa kuna MAAGIZO wamepewa kutoka juu. Kuanzia ngazi ya DEGREE na kuendelea watolewe kwenye mchakato na wachukue wa FORM FOUR.
poorbillionaire said: Huu uzi mbona umedorora ghafla!? Click to expand... Kuna taarifa nimepewa kuwa kuna MAAGIZO wamepewa kutoka juu. Kuanzia ngazi ya DEGREE na kuendelea watolewe kwenye mchakato na wachukue wa FORM FOUR.
Mayor Slum JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 772 Reaction score 1,172 Jun 22, 2019 #35 Kwanini sisi wenye degree hatujapitia hiyo Form Four Mkuu kiziru said: Kuna taarifa nimepewa kuwa kuna MAAGIZO wamepewa kutoka juu. Kuanzia ngazi ya DEGREE na kuendelea watolewe kwenye mchakato na wachukue wa FORM FOUR. Click to expand...
Kwanini sisi wenye degree hatujapitia hiyo Form Four Mkuu kiziru said: Kuna taarifa nimepewa kuwa kuna MAAGIZO wamepewa kutoka juu. Kuanzia ngazi ya DEGREE na kuendelea watolewe kwenye mchakato na wachukue wa FORM FOUR. Click to expand...
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Jun 22, 2019 #36 kiziru said: Kuna taarifa nimepewa kuwa kuna MAAGIZO wamepewa kutoka juu. Kuanzia ngazi ya DEGREE na kuendelea watolewe kwenye mchakato na wachukue wa FORM FOUR. Click to expand... Ila mbona Tangazo halijataka watu wa Degree mkuu,walihitaji watu wa 4 huku wakiwa na certificate ya Uhasibu/Ugavi/Madini. Na hata ukiangalia miaka ya nyuma walikuwa wanachukua watu wa 4 tu ila uwe na D ya math au zaid.
kiziru said: Kuna taarifa nimepewa kuwa kuna MAAGIZO wamepewa kutoka juu. Kuanzia ngazi ya DEGREE na kuendelea watolewe kwenye mchakato na wachukue wa FORM FOUR. Click to expand... Ila mbona Tangazo halijataka watu wa Degree mkuu,walihitaji watu wa 4 huku wakiwa na certificate ya Uhasibu/Ugavi/Madini. Na hata ukiangalia miaka ya nyuma walikuwa wanachukua watu wa 4 tu ila uwe na D ya math au zaid.
poorbillionaire JF-Expert Member Joined Mar 4, 2014 Posts 424 Reaction score 241 Jul 3, 2019 #37 Jamani kwani waliopata kazi tayari wameshaitwa kazini!?