kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 14, 2019 #1 Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni.
Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,885 Reaction score 13,261 Jun 14, 2019 #2 Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu.
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Jun 14, 2019 #3 kiziru said: Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni. Click to expand... Yaani Deadline 12/06/2019 unauliza interview leo je ukipata hiyo kazi ikitokea hujalipwa hela ya mwisho wa mwezi itakuwaje,jifunze kuwa subra ndugu acha taratibu ziendelee.
kiziru said: Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni. Click to expand... Yaani Deadline 12/06/2019 unauliza interview leo je ukipata hiyo kazi ikitokea hujalipwa hela ya mwisho wa mwezi itakuwaje,jifunze kuwa subra ndugu acha taratibu ziendelee.
Jonatus JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,403 Reaction score 379 Jun 14, 2019 #4 mbu wa dengue said: Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu. Click to expand... Haha siku mbili tayari anahisi kaikosa.. Subiri hata baada ya week 3 ndio aanze kuifikiria
mbu wa dengue said: Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu. Click to expand... Haha siku mbili tayari anahisi kaikosa.. Subiri hata baada ya week 3 ndio aanze kuifikiria
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Jun 14, 2019 #5 mbu wa dengue said: Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu. Click to expand... Inaelekea bado mgeni kitaani ndo maana anamzuka na kuitwa Interview itafika time naamini hata ku apply ataona uvivu.
mbu wa dengue said: Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu. Click to expand... Inaelekea bado mgeni kitaani ndo maana anamzuka na kuitwa Interview itafika time naamini hata ku apply ataona uvivu.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,885 Reaction score 13,261 Jun 14, 2019 #6 Mpombote said: Inaelekea bado mgeni kitaani ndo maana anamzuka na kuitwa Interview itafika time naamini hata ku apply ataona uvivu. Click to expand... Kweli kabisa mkuu,akishazijua songombingo na siasa za kwenye hizo ofisi badae mwenyewe ataona kichefuchefu.
Mpombote said: Inaelekea bado mgeni kitaani ndo maana anamzuka na kuitwa Interview itafika time naamini hata ku apply ataona uvivu. Click to expand... Kweli kabisa mkuu,akishazijua songombingo na siasa za kwenye hizo ofisi badae mwenyewe ataona kichefuchefu.
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,678 Reaction score 12,095 Jun 14, 2019 #7 Umeshafanya mipango tayari
kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 14, 2019 Thread starter #8 kopites said: Umeshafanya mipango tayari Click to expand... Mipango gani mkuu?
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,678 Reaction score 12,095 Jun 14, 2019 #9 kiziru said: Mipango gani mkuu? Click to expand... Bahati ni nadra sana dunia ya leo.
B beenz Member Joined Dec 3, 2013 Posts 21 Reaction score 5 Jun 14, 2019 #10 kiziru said: Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni. Click to expand... Inategemea a ulipoomba Tabora wameita tayari
kiziru said: Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni. Click to expand... Inategemea a ulipoomba Tabora wameita tayari
kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 14, 2019 Thread starter #11 beenz said: Inategemea a ulipoomba Tabora wameita tayari Click to expand... Nimeskia Lindi pia tayari wameita, interview kesho.
beenz said: Inategemea a ulipoomba Tabora wameita tayari Click to expand... Nimeskia Lindi pia tayari wameita, interview kesho.
kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 14, 2019 Thread starter #12 Vigezo na masharti vinazingatiwa mkuu kopites said: Bahati ni nadra sana dunia ya leo. Click to expand...
Vigezo na masharti vinazingatiwa mkuu kopites said: Bahati ni nadra sana dunia ya leo. Click to expand...
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Jun 14, 2019 #13 kiziru said: Vigezo na masharti vinazingatiwa mkuu Click to expand... Umemaliza mwaka gani boss wangu chuo?
kiziru said: Vigezo na masharti vinazingatiwa mkuu Click to expand... Umemaliza mwaka gani boss wangu chuo?
kiziru Member Joined Mar 10, 2019 Posts 37 Reaction score 37 Jun 14, 2019 Thread starter #14 2016 mkuu Mpombote said: Umemaliza mwaka gani boss wangu chuo? Click to expand...
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Jun 14, 2019 #15 kiziru said: 2016 mkuu Click to expand... Certificate si ndio bila shaka it means mwaka huu upo Degree mwaka wa 1?
kiziru said: 2016 mkuu Click to expand... Certificate si ndio bila shaka it means mwaka huu upo Degree mwaka wa 1?
Cathelin JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,071 Reaction score 3,997 Jun 14, 2019 #16 kiziru said: Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni. Click to expand... Kiziru eya bukoba
kiziru said: Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni. Click to expand... Kiziru eya bukoba
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,678 Reaction score 12,095 Jun 14, 2019 #17 kiziru said: Vigezo na masharti vinazingatiwa mkuu Click to expand... Yes,wenye vigezo na sifa sahihi hua ni wengi
kiziru said: Vigezo na masharti vinazingatiwa mkuu Click to expand... Yes,wenye vigezo na sifa sahihi hua ni wengi
euca JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 3,915 Reaction score 4,330 Jun 14, 2019 #18 Subiri bajeti kuu ya serikali mambo yatakuwa bien
Amazon Woman JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 796 Reaction score 1,189 Jun 15, 2019 #19 kiziru said: Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni. Click to expand... Wameshaita... Interview this Monday.
kiziru said: Habari wanajamvi, Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019. Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview? Asanteni. Click to expand... Wameshaita... Interview this Monday.
Amazon Woman JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 796 Reaction score 1,189 Jun 15, 2019 #20 mbu wa dengue said: Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu. Click to expand... The job is important and urgent. Wameshaitwa wahusika
mbu wa dengue said: Dah mbona una munkari sana mkuu. Tar 12/6 si juzi tu mkuu. Utajipa presha bure mkuu. Click to expand... The job is important and urgent. Wameshaitwa wahusika