Call for interview stamico

Kweli mkuu? Vigezo na qualification watu baadhi walioomba hiyo post mbona wanakidhi??? Mmmhhh!!!

Wamesoma wapi mineral economics boss? Na sijajuwa walitumia vigezo gani.
 
Hizi nafasi za watu kufanya mitohani ya darasani kazi sana,mtu nimekaa kazini miaka 3 wanataka nikumbuke madesa ya chuo?
 
Vipi kazi mshaitwa au maana kimya tu now
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…