Call for interview for Internal Auditors, Accounts Assistants, Assistant Accountants, Accounts Technicians, Senior IT Analysts, IT Analysts and Park Rangers
Unataka kutuambia nini???????????!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe hilo domo lako kubwa ni kwa ajili ya kuropoka!!!!!! Mi nlifikiri ni kwa ajili ya kula chapati bila kukunja!!!!!!!. Mimi simo mimi simo iko siku nawe utakuwemo!!!!!!, vipi ushaanza kuwemo?????????!! Maana unalalamika na uwingi na adress za watu arusha na kilimanjaro!!!!
mkuu nimecheck jina langu na la my friend yapo ila naona wamechanganya namba si namba etu it seems kuna kahujuma ka umafia wanakafanya hawa jamaa ili kutupoteea wamastukia first class ikabidi waiharibie...