R ron90hamilton Member Joined Mar 21, 2014 Posts 11 Reaction score 0 May 8, 2014 #1 Jamani wandugu SBL wamesha anza kupiga simu kuhusiana na interview itakayo fanyika jumamosi saa sita mchana.
Jamani wandugu SBL wamesha anza kupiga simu kuhusiana na interview itakayo fanyika jumamosi saa sita mchana.
concrete15 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 882 Reaction score 323 May 8, 2014 #2 mbona kama data unazo kiongozi sijui au unataka upigiwe uambiwe hivyo
R ron90hamilton Member Joined Mar 21, 2014 Posts 11 Reaction score 0 May 8, 2014 Thread starter #3 ninataka kuwafahamisha kuwa wameshaanza kuita watu na mimi wameshanipigia kwa ajili ya interview so kama hujapigiwa itakua hujawa shortlisted.
ninataka kuwafahamisha kuwa wameshaanza kuita watu na mimi wameshanipigia kwa ajili ya interview so kama hujapigiwa itakua hujawa shortlisted.