Issue hapa ya kukatazwa kuoa kwa hawa Bishop ni kutoka ktk Bible au mahala pengine?
Kuna insider mmoja aliniambia issue moja kubwa ya Catholic Church kuwazuia hawa Bishop kutokuoa ni kwa sababu ya utajiri wa Catholic Church usiende kwa watoto au mke wa hawa Bishop iwapo kifo au kujiuzuru kwa hawa Bishops kitatokea. Ndiyo maana hii issue ya kutokuoa imewekwa.
By the way, ktk kuwa na moral leaders, hawa Bishop, Nuns wataweza kufanya kazi zao vizuri zaid iwapo watakuwa na familia zao as normal human being.