Cake offer! Offer! Offer!

simba songea

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2016
Posts
1,496
Reaction score
1,219
Tunatoa offer za keki kwa bei rahisi. Pia tunakuletea popote ulipo
Cake [emoji512] za:

GRADUATION
BIRTHDAY
COMMUNION
ANNIVERSARY
KITCHEN PARTY
SEND OFF
WEDDING n.k
0717-966 128
0787-403 768

Hizi ni Tsh 25,000 zamani

Hizi kila moja ni Tsh 30,000

Hizi kila moja ni 35,000

Hizi ni 35,000

Pia tunauza cake plain (zisizopambwa) kila moja 15,000




Tunafanya delivery kwa wateja wetu waliopo Dar na nje ya Dar.
Mawasiliano:
0717-966 128 tigo
0787-403 768 airtel

Mteja Kwetu ni mfalme na malkia karibu sana.
 
Poa vipi dalali nikihusika kuna....tatizo ila kabei mnipunguzie 10%kwa mteja nitakaye mleta okay
Namba nshachukua
 
Mkuu offer manake nini sijaelewa kabisa apo mana hivo bei ndo hizo hizo tunanunua bakery zingine
 
Ni kg ngap hizo tuanzie apo
 
Maandalizi ya keki ni machafu,Chopping board ni bei gani kariakoo?ungo wa nn enzi hizi?Hizo keki ni nzuri kiasi lakini maandalizi ya ungo na gazeti karne hii ni uchafu,unadil na roho za watu.Je una bar code?weweeee usinibip!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…