Ndio maana pension za wastaafu kuzipata ni pinde, kidogo kwa kuwa serikali inazichukua na kuzifanyia itakavyo bila aibu kabisa. huu ni ushetani kabisa.
Imetoka wapi hii tena ..........!!?
Kama ni kweli basi Malaika Mkuu kwenye next life hana nia ya kupambana na Ufisadi ...........!!
mkuu..inchi ngumu hii sasa..anything is possibleSitashangaa kabisa hili likitokea katika huu utawala dhalimu wa D.
Hivi kwanini nyie watu mna mawazo ya Ujima ya kudhani kila anayeongea tofauti na nyinyi then s/he must have ill intention?!Mwongo. Ripoti ya CAG uk 102 hadi 110 hakuna hii stuff yako ya deni la taifa. Kurasa hizi zinaeleza juu ya:
5.4 UKAGUZI WA HESABU ZA TAIFA-HESABU JUMUIFU
5.4.1 Utangulizi
5.4.2 Hali juu ya Utekelezaji wa Viwango vya Kimataifa katika sekta ya Umma visivyo na Msingi wa Taslimu (IPSAS Accrual) mnamo mwisho wa kipindi cha mpito
5.4.3 Hesabu zilizojumuishwa zikiwa na tarehe tofauti na hesabu Jumuifu Bila Kufanya Marekebisho
5.4.4 Hesabu zilizojumuishwa kwenye hesabu jumuifu bila kusainiwa/kutolewa na mamlaka husika
5.4.5 Uondoshaji usiokamilika wa miamala baina ya taasisi zinazojumuishwa Shilingi bilioni 359
5.4.6 Uwekezaji wa mtaji wa biashara uliothaminishwa kwa gharama ya awali Shilingi bilioni 549
5.4.7 Kutoainisha na kutotambua dhima tarajiwa baada ya kuamuliwa
5.4.8 Uwekezaji hasi katika Mshikamano (Associate) na Ubia (Joint venture) Shilingi 405,349,237,000
5.4.8 Kuhesabu mara mbili mapato yaliyokusanywa na TRA kwa niaba ya taasisi nyingine TZS 325,308,753,499.97
Sasa hiyo spin yako ya deni la taifa umeipata ripoti gani katika kurasa hizo? Mwambie anayekulipa kufanya spinning humu JF kuwa tumekubaini sawia na ill-intension zako.
Pamoja na tambo zote hizo, kumbe hata ripoti yenyewe hujaisoma!!I considered it worthwhile public information though less important to me because I am already a savvy person in the matter, well beyond those narratives.
Une-boogi ndugu, report ya CAG ya serikali kuu hii hapa Hilo lako ni tango pori! Ukitaka kulila basi kula peke yako usiwalishe kaumu.Hivi kwanini nyie watu mna mawazo ya Ujima ya kudhani kila anayeongea tofauti na nyinyi then s/he is behind something?! Why do you guy think ni nyinyi pekee ndio wenye haki ya kuongea for the country and all other people are there just for bad intention?! What's so exceptional mnachofanyia nchi hii hadi muone all other people are just enemies of the country except you guys?!
Look, ni jana tu umeongea kwa mbwembwe kwamba:
Pamoja na tambo zote hizo, kumbe hata ripoti yenyewe hujaisoma!!
Okay, lemme tell you this! Probably I'm being paid and my Paymaster is none but the Controller & Auditor General ambae ameandika wazi kwamba:
View attachment 746879
View attachment 746836
Now tell me, endapo hiyo sio Ripoti ya CAG; whose else?!
Or I probably there's misunderstanding in pagination... did you make any further attempt to crosscheck what I wrote?!
Kuna cku nilishawahi kukuambia na leo nitarudia! Here's a thing: Ninapoandika kitu huwa sikurupuki hivyo nawe avoid kukurupuka unapotaka kunijibu or else utaishia kuumbuka kama ulivyoumbuka hapo juu!!
Unatia aibu! Unaambatanisha ripoti ambayo kumbe hata kusoma hujasoma!Une-boogi ndugu, report ya CAG ya serikali kuu hii hapa
wewe vipi utasemaje stuff iko uk. 102 wakati ni uk. 59? Come-on! Na iwapo hata kutofautisha prelims na pages huwezi, na hizo chambuzi-mbuzi zako nani atazipa credit!Unatia aibu! Unaambatanisha ripoti ambayo kumbe hata kusoma hujasoma!
Tumia hiyo hiyo ripoti yako ambayo sina haja ya kuiangalia; then nenda kwenye search kisha type: Taarifa ya Fedha ya Kitengo cha Deni la Taifa...
Soma hiyo section kisha rudi hapa ukiri kwamba ULIKURUPUKA!
Poor justification!!wewe vipi utasemaje stuff iko uk. 102 wakati ni uk. 59? Come-on!
Hakuna cha eti nilichokusudia... ULIKURUPUKA!!Une-boogi ndugu, report ya CAG ya serikali kuu hii hapa Hilo lako ni tango pori! Ukitaka kulila basi kula peke yako usiwalishe kaumu.
Ulichokusudia kuwasilisha wewe [5.1.6 Shughuli za ukopaji] kimewasilishwa kati ya kurasa 59 na 68. Bado unasema hukukurupuka?
wacha ujinga na visingizio vya kipuuzi tu. Kwani soft copy, mimi ninatumia nini? Ovyo!Poor justification!!
Nilikuuliza ikiwa ulifanya attempt ya ku-verify hasa ukizingatia paging kwa soft copy inaanza from the very first page ambapo obvious itatofautiana na actual paging lakini pamoja na kukupa hilo angalizo still ukaleta u-much know!!
Ndo maana nilikuambia; unaponijibu usiwe unakurupuka!!
Kwa nini unajihami, mimi nadhani una uwezo wa kujenga hoja ili watu wakuelewe, otherwise nyie ndio mlioko kwenye paylist ya maadui wa nchi wanaotafuta kila upenyo kuleta machafuko nchini. Lete hoja upewe hoja usiogope.Ngumu kumeza
Vijakazi wa mfalme wamejaziwa bando la mwezi kuhakikisha wanapumbaza watu juu ya masuala haya.
Look at you... kwenye thread nimeandika page 104-105!! Wewe hiyo Page 102 umeiokota wapi?!wewe vipi utasemaje stuff iko uk. 102 wakati ni uk. 59? Come-on! Na iwapo hata kutofautisha prelims na pages huwezi, na hizo chambuzi-mbuzi zako nani atazipa credit!
Watu wanaokariri si size yangu. Prelims are not counted as book pages!Look at you... kwenye thread nimeandika page 104-105!! Wewe hiyo Page 102 umeiokota wapi?!
And again, nimekuambia ni page reference as per softcopy... kwamba; kama unatumia softcopy; just key page 104 and GO!
Man, take your Page 59 you been talking about; key it at "Page search panel" then go uone kama itakufikisha kwenye section tunayozungumzia!
You'll use Page 59 only if you're scrolling down (manually)!! Probably you're analogy guy as many of Lumumba Crew Members are but am not!
Angalia in my #45 Post na angalia hizo screenshot kwa chini upande wa kushoto to see page reference!!
Again, the very same advice... usiwe UNAKURUPUKA wakati unajibu posts zangu kwa sababu it's obvious utaumbuka tu!!
Endelea kujitia kujua wakati hujui lolote!! No wonder you claimed:Watu wanaokariri si size yangu. Prelims are not counted as book pages!
To end up proving you didn't even know about non inclusion of other government debts to total government debt!I am already a savvy person in the matter, well beyond those narratives.
No wonder you claimed