Sasa ni dhahiri mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Ludovick Utoh amekubali kutumikia chama cha Mapinduzi - CCM
Ni jambo la kushangaza kwamba mdhibiti huyu amekagua mahesabu ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA lakini ameshindwa kabisa kukagua chama cha Mapinduzi CCM.
Wapenda haki demokrasia na utawala bora tunajiuliza maana yake ni nini?
Kwamba CCM iko juu ya sheria?
Kwamba mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ana maslahi gani ndani ya CCM?
Kwamba labda kuna agenda ya siri nyuma ya ukaguzi wa mahesabu ya Chadema?
Tafakari....
Duuuhhh.......kumbe ........Mnahaha kuzuia maporomoko kwa vidole, mwaka huu mtaenda na kulima misukule nyie. Mmekamatika ripoti hiyo imewavua nguo na wizi wenu subirini tar 28 october, mtaninyea kabisa. Rudi vunjo ukalime maua unakomaa ufipa mwanaume mzima kusifia wanaume wenzio, kweli wewe msukule unaotembea
Molemo vipi mkuu? Hivi kwa akili yako ulitegemea Ludovic Utoh angekagua mahesabu feki ya ccm iliyosababisha wizi mkubwa wa fedha za watanzania?
Hivi unategemea Mpuuzi Utuoh angetoa taarifa nzuri ya hesabu ya chadema? Chama ambacho kilidai mkaguzi akague hesabu za vyama?
Tutasubiri sana......
Usisahau kuwa Ludovic ni mteule wa mwenyekiti wa ccm
Mnahaha kuzuia maporomoko kwa vidole, mwaka huu mtaenda na kulima misukule nyie. Mmekamatika ripoti hiyo imewavua nguo na wizi wenu subirini tar 28 october, mtaninyea kabisa. Rudi vunjo ukalime maua unakomaa ufipa mwanaume mzima kusifia wanaume wenzio, kweli wewe msukule unaotembea
Sasa ni dhahiri mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Ludovick Utoh amekubali kutumikia chama cha Mapinduzi - CCM
Ni jambo la kushangaza kwamba mdhibiti huyu amekagua mahesabu ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA lakini ameshindwa kabisa kukagua chama cha Mapinduzi CCM.
Wapenda haki demokrasia na utawala bora tunajiuliza maana yake ni nini?
Kwamba CCM iko juu ya sheria?
Kwamba mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ana maslahi gani ndani ya CCM?
Kwamba labda kuna agenda ya siri nyuma ya ukaguzi wa mahesabu ya Chadema?
Tafakari....
Wewe kweli boya..... mkakati wa ccm kupitia kwa CAG hauwezi kuwahadaa watanzania waliokwishajitambua. Mchezo wenu unafikia kikomo...
Mnahaha kuzuia maporomoko kwa vidole, mwaka huu mtaenda na kulima misukule nyie. Mmekamatika ripoti hiyo imewavua nguo na wizi wenu subirini tar 28 october, mtaninyea kabisa. Rudi vunjo ukalime maua unakomaa ufipa mwanaume mzima kusifia wanaume wenzio, kweli wewe msukule unaotembea
Naona povu linakutoka bure,waambie magamba wapeleke mahesabu yao yakaguliwe.wasione aibu kutoa mchanganuo wa manunuzi ya kofia,kanga,tshirt,vilemba,gharama za kupika na kununua wali ili kuvutia wasikilizaji kwenye mikutano ya kinana,gharama za kununua shahada,gharama za mafuso,gharama za kutembea na fiesta au kili music ili kuvutia wasikilizaji kwenye mikutano na nk.
Wewe ndio msukule kabisa, nadhani utakuwa umebakiwa na kumbukumbu ya kukupeleka chooni tu wakati wa haja kubwa. Umeonyesha ukame mkubwa sana wa maarifa kichwani mwako, kwahiyo waandishi wa habari ndio mliwaitia hicho? Kuwa ccm haijakaguliwa? Ila pamoja na kwamba kumbukumbu zako saiv zinakata, nadhani bado utakuwa unajua kusoma jambo kiswahili. Hebu nenda kwenye tovuti ya CAG usome uone muhtasari wake kwa vyama vya siasa, ambavyo amevikagua. Siku nyingine usilete mahaba ya kitoto hapa
Tafakari bwana mdogo na soma uelewe......CAG amekagua hesabu za vyama vyote vilivyopokea ruzuku sio chadema yako pekee...na ukitaka kuziona ripoti za ukaguzi tembelea tovuti ya msajili wa vyama vya siasa au ya NAOT...acha ushabiki
Sasa ni dhahiri mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Ludovick Utoh amekubali kutumikia chama cha Mapinduzi - CCM
Ni jambo la kushangaza kwamba mdhibiti huyu amekagua mahesabu ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA lakini ameshindwa kabisa kukagua chama cha Mapinduzi CCM.
Wapenda haki demokrasia na utawala bora tunajiuliza maana yake ni nini?
Kwamba CCM iko juu ya sheria?
Kwamba mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ana maslahi gani ndani ya CCM?
Kwamba labda kuna agenda ya siri nyuma ya ukaguzi wa mahesabu ya Chadema?
Tafakari....
Mnahaha kuzuia maporomoko kwa vidole, mwaka huu mtaenda na kulima misukule nyie. Mmekamatika ripoti hiyo imewavua nguo na wizi wenu subirini tar 28 october, mtaninyea kabisa. Rudi vunjo ukalime maua unakomaa ufipa mwanaume mzima kusifia wanaume wenzio, kweli wewe msukule unaotembea
Mkuu nimetembelea na nimesearch hiyo website nimeona reports ambazo ndani yake kuna habari za jumla jumla tu kuhusu vyama vya siasa (information hiyo haizidi hata page moja). Ni information ya jumla ambayo ilishasemwa kwenye vyombo vya habari......
Hii unayoizungumzia hapa ni ipi ? Tusaidie kwa kuweka direct link......