Cafe Inauzwa

alsam

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
232
Reaction score
347
Maeneo : Mtoni kwa Azizi Ally
Vifaa:
-Jiko La GESI la kukaangia chipsi
-Kabati LA Chipsi
-Friji Kubwa la kawaida
-friji la Pepsi
-Meza za Kulia kubwa 4
-Viti vya plastic 12
-
 
Maeneo : Mtoni kwa Azizi Ally
Vifaa:
-Jiko La GESI la kukaangia chipsi-200,000
-Kabati LA Chipsi - 150,000
-Friji Kubwa la kawaida - 600,000
-friji la Pepsi - 0
-Meza za Kulia kubwa 4 - 800,000
-Viti vya plastic 12 - 700,000
-
HIYO MILLION TANO INATOKA WAPI?
 
Naomba nikopeshe pamoja na fremu, ntakulipa biashara ikiwa nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…