Ili kukomesha tabia hii Azam anatakiwa kuzitowa timu zote hizo mbili na kuingia makundi kibabe.
Wanavyoikamiaga Yanga sasa wahamishie kuiamia kwao kwenye mechi hizi.
Kina Fei toto sasa huo ndio mtihani wao wa kuonesha thamani yao.
Na Yanga akimtowa Vital 0 anakutana na nani au mshindi kati ya mechi ipi?