I am expert in AutoCAD and CivilCAD softwares especially for Road Projects, 5 years work experience.
Email forwadg@gmail.com
Email forwadg@gmail.com
Kama upo interested kufanya kazi serikalini naona kuna nafasi zimetangazwa i think ni wizara ya ujenzi/miundombinu zaidi ya 150 kwenye fani ya civil and transportation engineering.
Nimeziona mkuu , ngoja ni apply .
Mkuu unaweza ukatupa link..
ajira.go.tz
Ubarikiwe mkuu
mkuu mbona nimeangalia ajira.go.tz sijaona hizo nafasi za kazi... naomba clarification mkuu.
Check vizur kwa pembeni zipo kwenye PDF ambapo unatakiwa u-download.