Katika maduka mengi niliwahi kupitia hua wana kiwango chao cha mwanzo (MOQ), ndio nimeuliza huenda na wauzaji wa hio pia wana kiwango maalumu. Hio moq ndio itakayonifanya kujua nijiandae na mzigo wa kiasi gani

Sawa mkuu nimekuelewa .pamoja na ufafanuzi wako , wakulima tulio wengi tunapenda tuuze mavuno yetu yote hasa kwa mazao ya biashara.
Ushauli wangu, fanya tasamini ya uhitaji wako ,Kisha njoo hapa jukwaani .hii itakusaidia kukuunganisha na wadau hasa Hawa wakati .