Cabinet reshufle coming tomorrow?!

I am just thinking loudly, je watoto wa sisi akina yakhe wataibukaje na kuonekana wanafaa kama Januari? Naamini wapo wengi tu na wenye uchungu na nchi hii kuliko hata Januari.
 

Sitaona ajabu, mbona Celina Kombani ni waziri wa sheria na katiba wakati hata hajui nchi yake imewahi kuwa na katiba ngapi!!
Tanzania mambo yanajiendea tu ovyo ovyo ili mradi tu jamaa yuko anaongozwa na ving'ora.

Wanasema wanawa-deal fisadiz wakati ndo mnawaweka watu wao kwenye UTAJO!!
You are F*&%#@ing i d i o t s.
 

Mie sikujua kama unaonekana wa maana sana kukataa vijisenti halafu wakati huo huo ukaipigia debe mitambo ya kifisadi ya Dowans iwashwe kwa mkataba wa mabilioni.

JANUARY MAKAMBA: Dalali au Mzalendo?
 
Kuhusu J Makamba sikubaliani na wanaomsifia,bado nammweka kwenye kundi la watu ambao misimamo yao haieleweki

Sawa Kabisa. Mimi simpingi Makamba ila woga wangu ni kwamba huyu kijana hajawa contaminated? Tukumbuke tunaowaita wazee wa CCM hivi sasa na wao walikuwa vijana tena machachari tu laikini kwa kuwa wako CCM wamekumbwa na UCCM.
 
January Makamba mmmm another Makamba hii ni Sawa!

Wewe hujajua tu kuwa CCM ni chama cha KISULTANI. Mbona hujaongelea habari ya Nape Nnauye, Dr. Hussein Mwinyi na wengine wengi ambao wamepata madaraka ndani ya CCM kwa sifa kubwa ya kuwa na "correct sir names"?
 
I am just thinking loudly, je watoto wa sisi akina yakhe wataibukaje na kuonekana wanafaa kama Januari? Naamini wapo wengi tu na wenye uchungu na nchi hii kuliko hata Januari.

Hiyo sio sifa ya msingi kwa anayetaka uongozi ndani ya chama cha CCM ndugu yangu. Kwa sasa kuna sifa kuu mbili za kuwa kiongozi ndani ya hiki chama kikongwe; kwanza ni kuwa na PESA nyingi bila kujali vyanzo a.k.a UFISADI na pili ni kuwa na "correct/recognisable Sir name" kama ilivyo kwa akina Makamba et.al. Nyie watoto wa akina yakhe subirini mtaletewa Tshirts, kofia na Kanga za kijani na njano zenye picha za watoto wa viongozi ili muwapigie KURA waendeleze KULA ya wazazi na familia zao.
 

Marekebisho: ni "Surname"
 

Kwa maana hiyo CCM ni chama cha wachache na hao wachache wanarithishana. Hao ambao hawana majina na hawawezi kurithi chochote huko CCM si waangalie kwingine wakapate madaraka kwa merits kama nadani ya CCM hawatapata? AU na huko kwingine pia kuna kurithishana kama CCM? Kwangu vyama vyote vya siasa Tanzania ni magenge ya wasaka tonge tu! SIVIPENDI!!
 

Kakomazwa na nani JK?
 

Jamani mbona tunasahau haraka hivyo!

Moja ya maazimio ya CCM ni kwamba kazi za Sekretariat zitakuwa full-time.

This is why membe was removed and this is why makamba Jnr can not be appointed Minister.
 
nyoka hawezi kuzaa chura bana! enough with this non sense.. makamba ni makamba tu iwe yusufu au january mtoto wa nyoka nyoka tu period!:nimekataa
 
vipi januari lile bifu lake na bibi mmoja wa marekani limeishia wapi?

na kwa hilo bifu hawezi kuwa waziri..........alikula pesa za yule dada akadhani yuko salama..

 
Kwenye MIZANI ya kumlinganisha Membe na January, I would say, January ni better off
 
nchi hii kikisemwa kitu ujue kitakuwa tu...haya ngoja tuone mwisho wake
 

Ndo hapo napo shangaa alafu wanajisifia wamelivua gamba wakati sura ni zile zile toka enzi hizo tunaziona.
 
Unaweza kula sumu kwa sababu hakuna chakula kisha uwashawishi watu kuwa umetumia common sense,
 
lazima TUWE MAKINI!,RAIS HAWEZI FANYA RESHUFLE WAKATI MAWAZIRI WAKIWA BUNGENI NA WENGINÈ WAKIWAKILISHA MISWADA MIPYA....ANAWEZA FANYA RESHUFLE LAKINI SI KAMA MTOA TOPIC ALIVYOWAKILISHA.....IT IS A MATTER OF TIME..HASA BAADA YA HIZO 90 DAYS ALIZOWAPA MAFISADI WENZIE NDANI YA CCM.
 
Kuhusu J Makamba sikubaliani na wanaomsifia,bado nammweka kwenye kundi la watu ambao misimamo yao haieleweki

Msimamo wake kwako haueleweki lakini kwa JK unaeleweka vema na ndio maana kampa ulaji ktk CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…