So Kenya kuna city 3!?
Oky.. good for you. What does it take for a city to be International city?We have two International city.
So Kenya kuna city 3!?
So all the years u have been lying to us ati Nakuru n Eldoret r cities. Cities ur foot! U people ur ego will kill u ohooo! It's stupidity of highest order when idiots from Kenya compare cities like Arusha, Tanga, Mbeya, Stonetown n Mwanza with towns in Kenya.Tunazo tatu sasa zimeongezeka na kuwa tano. Hii ni baada ya maendeleo kwenye miji miwili iliyoongezeka.
Yes kwa kigezo cha watu, Tanzania imezizidi nchi zote za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi) ukiziunganisha pamoja. Sababu kubwa ni kwamba huku Tanzania watu wanakimbia umasikini mkubwa vijijini hata kama hawana uhakika wa kazi mijini lakini nchi majirani hawakimbilii hovyo mijini kutokana na kuwa na makazi na kilimo cha kudumu na hivyo kushindwa kuacha vitega uchumi vyao.Inamaana kwa kigezo cha idadu ya wakaazi cha Kenya,Kahama na Kasulu kwa Tz tuite cities,basis Tz tuna cities nyingi sana asee
East africa city ni tano pekee...ata inaeza kuwa less than 5.So all the years u have been lying to us ati Nakuru n Eldoret r cities. Cities ur foot! U people ur ego will kill u ohooo! It's stupidity of highest order when idiots from Kenya compare cities like Arusha, Tanga, Mbeya, Stonetown n Mwanza with towns in Kenya.
Wacha uongo human migration to the cities Tanzania ipo chini ukilinganisha na Kenya. FYI 60% of Tanzanians r still in rural areas!Yes kwa kigezo cha watu, Tanzania imezizidi nchi zote za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi) ukiziunganisha pamoja. Sababu kubwa ni kwamba huku Tanzania watu wanakimbia umasikini mkubwa vijijini hata kama hawana uhakika wa kazi mijini lakini nchi majirani hawakimbilii hovyo mijini kutokana na kuwa na makazi na kilimo cha kudumu na hivyo kushindwa kuacha vitega uchumi vyao.
Sababu nyingine kubwa haswa ni gharama kubwa ya ardhi unayoweza kujenga nyumba za makazi. Miji mingi ya Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, imejengwa kwenye maeneo yenye rutuba (ukiacha eneo la Kaskazini na Pwani ya Kenya), hivyo wengi ha wako tayari kuuza ardhi zao kwa urahisi kama maeneo yasiyo na rutuba. Ndiyo maana hata kwa Tanzania, miji muhimu na maarufu tangu zamani nchini ya Moshi, Bukoba, Tukuyu, Lushoto na Arusha imekuwa ikikua kwa mwendo wa kobe kutokana na watu kuuza ardhi zao kwa gharama kubwa. Arusha inakua tu hivyo hivyo kama Nairobi kutokana na uwekezaji mkubwa wa kitaasisi ndiyo maana bei za viwanda za miji hiyo ni kubwa usipime.
Peleka upumbavu...katawaze kwanzaEast africa city ni tano pekee...ata inaeza kuwa less than 5.
Hiii ujinga ya kuname kila town city ni ujinga
Nilikuwa naongelea miji makubwa yenye wakazi zaidi ya 200,000 kama mtoa mada alivyoeleza kupandishwa kwa miji ya Nakuru na Eldoret kwenye status ya majiji. Fuatilia vyema utakubaliana na maelezo yangu.Wacha uongo human migration to the cities Tanzania ipo chini ukilinganisha na Kenya. FYI 60% of Tanzanians r still in rural areas!
hizo city zenu zenye poor infrastructure plus worse planning ndio mnaziita city?Tanzania has 14 cities If we follow Kenyan standards, poor Kenyans huwa wanakuja na mada zao za kinyangau Eldoret vs Mwanza ... These people arrogance is in their blood
in terms of population.. i agree tz has 14 populated towns called cities by tzsTanzania has 14 cities If we follow Kenyan standards, poor Kenyans huwa wanakuja na mada zao za kinyangau Eldoret vs Mwanza ... These people arrogance is in their blood