Don Calvino
Senior Member
- Mar 3, 2012
- 113
- 29
Ndio maana uwa siifagilii CNN na ni mara chache kuiangalia kwani uwa hawatoi uzito hata kidogo kwa habari zinazohusu Africa. Sio kama BBC ambao coverage yao kwa mambo ya Africa in nzuri kabisa!!!
Tiba
..................mtafiti, anaripoti matokeo !Kila chombo habari kina sera zake na malengo ya mmiliki. Kinachotakiwa ni vyombo vyetu vya habari vizidi kujiimarisha na kuwa na wawakilishi sehemu mbalimbali katika Africa, EA au ko kote duniani ili kuondokana na utegemezi wa kupata habari toka vyombo vingine ambavyo vina mlengo fulani.
Pole Don Calvino, lakini habari si ndio umeshazipata au lazima ziandikwe na CNN ndio uamini?
Hivi hata huu mkuano wa AfDB unaoendelea Arusha wanaufanyoa coverage?Kumekuwa na habari nyingi muhimu za dunia ya tatu (3rd world countries), ila utakuta C.N.N na vituo vingine vya habari vinaona za kwao kwenye habari za kimataifa ni muhimu kuliko hata kuonyesha na kuweka za Africa.Mfano mlipuko wa Kenya juzi sijauona kuongelewa hata kwenye tovuti yao ya cnn.com
Hivi hata huu mkuano wa AfDB unaoendelea Arusha wanaufanyoa coverage?
Hivi hata huu mkuano wa AfDB unaoendelea Arusha wanaufanyoa coverage?