snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,162 May 20, 2014 #21 Sajy said: ndio mkuu , reason moja wapo ni kwamba inakaa na chaj siku nne, hapo umerun,kila kitu kuanzia whatsapp hadi email notifications, bila kusahau fb ya ndan kwa ndan Click to expand... Naomba namba Ya Revo please!
Sajy said: ndio mkuu , reason moja wapo ni kwamba inakaa na chaj siku nne, hapo umerun,kila kitu kuanzia whatsapp hadi email notifications, bila kusahau fb ya ndan kwa ndan Click to expand... Naomba namba Ya Revo please!
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,162 May 20, 2014 #22 ChelseaBlue said: Hivi bado mnatumia windows phone mpk miaka hii.. Click to expand... Nivyema ukatumia muda wako mwingi, kujifunza kuandika !
ChelseaBlue said: Hivi bado mnatumia windows phone mpk miaka hii.. Click to expand... Nivyema ukatumia muda wako mwingi, kujifunza kuandika !
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,162 May 20, 2014 #23 Ricardo Damiano said: Habar..anaejua kurequest mpesa au tigopesa au chkbombastic kwenye windows phone. Anisaidie. Click to expand... Hazi support ussd code hizo Windows phone 7---- ! Zinazo support ni WP8 - 8.1 kama huwezi vumilia basi hama !
Ricardo Damiano said: Habar..anaejua kurequest mpesa au tigopesa au chkbombastic kwenye windows phone. Anisaidie. Click to expand... Hazi support ussd code hizo Windows phone 7---- ! Zinazo support ni WP8 - 8.1 kama huwezi vumilia basi hama !
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 20, 2014 #24 Kwangu inafanya kazi kama kawa
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 May 31, 2014 Thread starter #25 Imerudi na bonge moja la update..kwene privacy
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,576 May 31, 2014 #26 DO NOT UPDATE! Ina bugs version mpya nashindwa kuingia kabisa, siwezi hata kusoma msg za zamani.
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,576 May 31, 2014 #27 Inafanya kazi after uninstall/reinstall
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 May 31, 2014 Thread starter #28 Kang said: Inafanya kazi after uninstall/reinstall Click to expand... iko poa mkuu, feature kibao zimeongezeka.. Hadi kuhide last seen
Kang said: Inafanya kazi after uninstall/reinstall Click to expand... iko poa mkuu, feature kibao zimeongezeka.. Hadi kuhide last seen
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,668 Reaction score 40,275 May 31, 2014 #29 Sajy said: Wakuu nahisi whatsapp haitapatikana tena kwenye windows phone maana naenda sikuvya 3 leo kitu kinanigomea.. Vp kwenu? Click to expand... hivi window phone mnazpendea nini"?? android ndio mwisho wa matatizo.
Sajy said: Wakuu nahisi whatsapp haitapatikana tena kwenye windows phone maana naenda sikuvya 3 leo kitu kinanigomea.. Vp kwenu? Click to expand... hivi window phone mnazpendea nini"?? android ndio mwisho wa matatizo.
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 May 31, 2014 Thread starter #30 Remote said: hivi window phone mnazpendea nini"?? android ndio mwisho wa matatizo. Click to expand... chaji mkuu..
Remote said: hivi window phone mnazpendea nini"?? android ndio mwisho wa matatizo. Click to expand... chaji mkuu..