Bye bye Mourinho la liga

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
2,089
Reaction score
829
Breaking news / His career as Real Madrid's manager is over
[h=1]Bye Bye Mourinho![/h]
  • [h=4]Real Madrid president Florentino Pérez has confirmed the exit of the Portuguese manager José Mourinho at the end of the season. Pérez had informed the press at Bernabéu stadium at 20:00 (Spanish time), after this evening's meeting of the board of directors.[/h]


05/20/2013

  • Print
  • Send





Real Madrid president Florentino Pérez has confirmed the exit of the Portuguese manager José Mourinho at the end of the season.
Pérez had informed the press at Bernabéu stadium at 20:00 (Spanish time), after this evening's meeting of the board of directors.
Mourinho took charge of Real Madrid in July 2010 after the club had sacked the Chilean Manuel Pellegrini.
 
Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwa kocha wa timu hiyo Jose Mourinho ataondoka kwenye kibarua cha kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu.
Rais wa klabu ya Real Madrid,Florentino Perez amewaambia waandishi wa habari jumatatu jioni kuwa Mourinho hatofukuzwa bali wamekubaliana kumaliza mkataba wao na kocha huyo raia wa Ureno.
Aidha Madrid, imeongeza kuwa haijaanza mazungumzo na kocha yeyote kwaajili ya kuchukua nafasi ya Mourinho lakini vyanzo mbalimbali vya habari za michezo zinamtaja kocha wa PSG ya Ufaransa, Carlo Ancelloti kuchukua jukumu la kuifundisha Madrid msimuujao.
Duru za kimichezo zinasema, Jose Mourinho huenda akarejea nchini Uingereza kuifundisha klabu yake yazamani ya Chelsea baada ya kuwepomakubaliano baina yake na uongozi wa klabu hiyo.

CHANZO: BBC
 
Nimefurahi sana kusikia hii Habari. R.Madrid ijiandae na Vichapo kutoka Barcelona. Bora Jose akaondoka ili Makali yetu yaje kwa kasi.
 
ferg alichukua uamuzi mgumu na wa ghafla baada ya kujua special anarejea EPL,ikumbukwe kuwa toka morinho alipohamiaEPL MAN U hawakuchukua EPL mpaka jose alipondoka,mzee aliona atastaafu vibaya.
 
Nimefurahi sana kusikia hii Habari. R.Madrid ijiandae na Vichapo kutoka Barcelona. Bora Jose akaondoka ili Makali yetu yaje kwa kasi.
Kwani kafanya nini cha sie kumuogopa? Alianza kwa kuchukua Copa Del Rey, msimu uliofuata akatemwa na kuchukua La Liga na msimu huu hana kombe lolote ila kadi mbili nyekundu za kocha na mchezaji wao bora.
 
Vice president wa Barca kasema kuwa ni bora ameondoka maana alikuwa anaiharibu spain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…